title : MAKAMU MWENYEKITI HALMASHAURI YA MONDULI ATIMKA CHADEMA NA KUHAMIA CCM
kiungo : MAKAMU MWENYEKITI HALMASHAURI YA MONDULI ATIMKA CHADEMA NA KUHAMIA CCM
MAKAMU MWENYEKITI HALMASHAURI YA MONDULI ATIMKA CHADEMA NA KUHAMIA CCM
Makamu mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Monduli ndugu Edward Lenanu Laizer akitangaza rasmi kujiuzulu nafasi yake ya Udiwani kata ya Naalarami na kujivua uanachama wa CHADEMA na kujiunga na CCM leo tarehe 28/04/2018.
Makamu mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Monduli ndugu Edward Lenanu Laizer akiwasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Monduli na kutangaza kujivua uanachama wa CHADEMA na kujiunga na chama cha CCM leo April 28, 2018
Hivyo makala MAKAMU MWENYEKITI HALMASHAURI YA MONDULI ATIMKA CHADEMA NA KUHAMIA CCM
yaani makala yote MAKAMU MWENYEKITI HALMASHAURI YA MONDULI ATIMKA CHADEMA NA KUHAMIA CCM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU MWENYEKITI HALMASHAURI YA MONDULI ATIMKA CHADEMA NA KUHAMIA CCM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/makamu-mwenyekiti-halmashauri-ya.html
0 Response to "MAKAMU MWENYEKITI HALMASHAURI YA MONDULI ATIMKA CHADEMA NA KUHAMIA CCM"
Post a Comment