title : Madaktari kutoka Misri wamuaga Waziri wa Afya baada ya kumaliza muda wao wa kazi nchini
kiungo : Madaktari kutoka Misri wamuaga Waziri wa Afya baada ya kumaliza muda wao wa kazi nchini
Madaktari kutoka Misri wamuaga Waziri wa Afya baada ya kumaliza muda wao wa kazi nchini
WAZIRI wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Mohamed akizungumza na Madaktari Bingwa kutoka Nchi za Kiarabu baada ya kufika ofisini kwake Mnazimmoja kwaajili ya kuagwa baada ya kumaliza muda wa kufanya kazi Nchini.
MENEJA kutoka MSA Ibrahim Gamaan Girmp akiutambulisha ujumbe wa Madaktari waliofika ofisi kwa Waziri wa Afya Zanzibar kwaajili ya kuagwa baada ya kumaliza muda wao wa kufanya kazi Nchini.
MENEJA kutoka MSA Ibrahim Gamaan Girmp akimkabidhi zawadi Waziri wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Mohammed kushoto alievaa fulana nyeusi ni Prof Abdulwahab Al Jubab kutoka King Fahad Medical City walipofika afisini kwake kwaajili ya kuagwa baada ya kumaliza muda wa kufanya kazi Nchini.
MENEJA kutoka MSA Ibrahim Gamaan Girmp akimkabidhi zawadi Waziri wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Mohammed kushoto alievaa fulana nyeusi ni Prof Abdulwahab Al Jubab kutoka King Fahad Medical City walipofika afisini kwake kwaajili ya kuagwa baada ya kumaliza muda wa kufanya kazi Nchini.
WAZIRI wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Muhamed akipiga picha ya pamoja na Madaktari Bingwa kutoka Nchi za Kiarabu.(Picha na Abdalla Omar Maelezo Zanzibar).
Hivyo makala Madaktari kutoka Misri wamuaga Waziri wa Afya baada ya kumaliza muda wao wa kazi nchini
yaani makala yote Madaktari kutoka Misri wamuaga Waziri wa Afya baada ya kumaliza muda wao wa kazi nchini Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Madaktari kutoka Misri wamuaga Waziri wa Afya baada ya kumaliza muda wao wa kazi nchini mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/madaktari-kutoka-misri-wamuaga-waziri.html
0 Response to "Madaktari kutoka Misri wamuaga Waziri wa Afya baada ya kumaliza muda wao wa kazi nchini"
Post a Comment