title : KUMBILAMOTO ATOA NENO LA SHUKRANI KWA WALIOSHIRIKIANA NAYE KATIKA MSIBA WA MZAZI WAKE
kiungo : KUMBILAMOTO ATOA NENO LA SHUKRANI KWA WALIOSHIRIKIANA NAYE KATIKA MSIBA WA MZAZI WAKE
KUMBILAMOTO ATOA NENO LA SHUKRANI KWA WALIOSHIRIKIANA NAYE KATIKA MSIBA WA MZAZI WAKE
Mwambawahabari
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Vingunguti, Omary Kumbilamoto amewashukuru Viongozi wa Manispaa ya Ilala na wananchi wa Wilaya hiyo kwa ushirikiano wao walio onesha katika kisomo cha hitima ya Mama yake mzazi iliyofanyika Kijijini Kauzeni Wilayani Kisarawe.
Kumbilamoto Ameyasema hayo leo Kijijini Kauzeni wakati wa Hitima ya Marehemu Mama yake na kuwataka kuendelea na moyo huo wa kusaidia na kufarijiana katika wakati wa matatizo bila kujali itikadi zao.
Nao baadhi ya viongozi wa Dini na wananchi waliohudhuria hitima hiyo wamemzungumzia Kumbilamoto la moto kuwa ni kiongozi wa tofauti anayejishusha bila kujali cheo na madaraka aliyo nayo na kuwa ni mfano wa kuigwa katika Jamii.
" Ni agharabu Sana kwa viongozi kuwa na moyo kama wa huyu Naibu Meya kwakweli mi na muombea mwenyezi Mungu ili aweze kuambukiza na wengine wawe na moyo kama yeye na washirikiane." Amesema mwananchi ambaye ameomba jina lake lihifadhiwe.
Hivyo makala KUMBILAMOTO ATOA NENO LA SHUKRANI KWA WALIOSHIRIKIANA NAYE KATIKA MSIBA WA MZAZI WAKE
yaani makala yote KUMBILAMOTO ATOA NENO LA SHUKRANI KWA WALIOSHIRIKIANA NAYE KATIKA MSIBA WA MZAZI WAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KUMBILAMOTO ATOA NENO LA SHUKRANI KWA WALIOSHIRIKIANA NAYE KATIKA MSIBA WA MZAZI WAKE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/kumbilamoto-atoa-neno-la-shukrani-kwa.html
0 Response to "KUMBILAMOTO ATOA NENO LA SHUKRANI KWA WALIOSHIRIKIANA NAYE KATIKA MSIBA WA MZAZI WAKE"
Post a Comment