title : KIKOSI KAMILI CHA YANGA DHIDI YA WELAYTA DICHA
kiungo : KIKOSI KAMILI CHA YANGA DHIDI YA WELAYTA DICHA
KIKOSI KAMILI CHA YANGA DHIDI YA WELAYTA DICHA
KIKOSI cha Yanga kinashuka leo dimbani katika mchezo wa kombe la Shirikisho barani Afrika wakiwa ugenini dhidi ya timu ya Welayta Dicha kutoka Ethiopia.
Yanga inayoshuka dimbani wakiwa na ushindi wa goli 2-0 walioupata wakiwa nyumbani katika mchezo uliochezwa April 7 mwaka huu.
Katika mchezo wa Kwanza Yanga waliweza kucheza bila nyota wake watatu wakitumikia adhabu ya kuwa kadi mbili za njano ambao wamejumuishwa kwenye kikosi cha kwanza cha leo.
Yanga wakiwa chini ya Kocha msaidizi Noel Mwandila na Shadrack Nsajigwa kitashuka dimban katika uwanja wa Hawasa kutafuta ushindi wa aina yoyote, sare au kutokufungwa goli zaidi ya moja.
Matokeo hayo yanambeba Yanga na wataweza kuingia katika hatua ya Makundi ya kombe la Shirikisho ambapo wataweza kujinyakulia kitita cha mamilioni.
Youthe Rostand
Hassan Ramadhan
Haji Mwinyi
Abdallah Shaibu 'Ninja'
Kelvin Yondani
Pappy Tshitshimbi
Thabani Kamusoko
Raphael Daud
Pius Buswita
Obrey Chirwa
Yusuf Mhilu
Hivyo makala KIKOSI KAMILI CHA YANGA DHIDI YA WELAYTA DICHA
yaani makala yote KIKOSI KAMILI CHA YANGA DHIDI YA WELAYTA DICHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KIKOSI KAMILI CHA YANGA DHIDI YA WELAYTA DICHA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/kikosi-kamili-cha-yanga-dhidi-ya.html
0 Response to "KIKOSI KAMILI CHA YANGA DHIDI YA WELAYTA DICHA"
Post a Comment