title : DKT. KOLIMBA AKUTANA NA MSHINDI WA MISS UNIVERSITY AFRICA 2017
kiungo : DKT. KOLIMBA AKUTANA NA MSHINDI WA MISS UNIVERSITY AFRICA 2017
DKT. KOLIMBA AKUTANA NA MSHINDI WA MISS UNIVERSITY AFRICA 2017
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Susan Kolimba (kulia) akifafanua jambo kwa Miss World University Africa 2017, Queen Elizabeth Makune wakati alipomtembelea ofisini kwake leo Jijini Dodoma. Miss Makune ameshinda taji la Miss World University Afrika lililoshirikisha mataifa 53 ya Afrika nchini Korea Desemba 2017.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Susan Kolimba (kulia) na Miss World University Africa 2017 Bi. Queen Elizabeth Makune wakifurahia jambo alipomtembelewa ofisini kwake na Bi. Makune leo Jijini Dodoma. Miss Makune ameshinda taji la Miss World University Afrika lililoshirikisha mataifa 53 ya Afrika nchini Korea Desemba 2017.
Miss World University Africa 2017 , Queen Elizabeth Makune (kushoto) akimueleza Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Susan Kolimba (kulia) jinsi mashindano yalivyo fanyika alipomtembelea ofisini kwake leo Jijini Dodoma. Miss. Makune ameshinda taji la Miss World University Afrika lililoshirikisha mataifa 53 ya Afrika nchini Korea Desemba 2017.
Hivyo makala DKT. KOLIMBA AKUTANA NA MSHINDI WA MISS UNIVERSITY AFRICA 2017
yaani makala yote DKT. KOLIMBA AKUTANA NA MSHINDI WA MISS UNIVERSITY AFRICA 2017 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DKT. KOLIMBA AKUTANA NA MSHINDI WA MISS UNIVERSITY AFRICA 2017 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/dkt-kolimba-akutana-na-mshindi-wa-miss.html
0 Response to "DKT. KOLIMBA AKUTANA NA MSHINDI WA MISS UNIVERSITY AFRICA 2017"
Post a Comment