title : BAKOBA FC MABINGWA KAMALA CUP 2018, WAIFUNGA IJUGANYONDO BAO 3-0 KWENYE FAINALI UWANJA WA KAITABA
kiungo : BAKOBA FC MABINGWA KAMALA CUP 2018, WAIFUNGA IJUGANYONDO BAO 3-0 KWENYE FAINALI UWANJA WA KAITABA
BAKOBA FC MABINGWA KAMALA CUP 2018, WAIFUNGA IJUGANYONDO BAO 3-0 KWENYE FAINALI UWANJA WA KAITABA
Nahodha wa timu ya Bakoba Fc akiwa amebeba Kombe la Ubingwa leo hii jioni kwenye Uwanja wa Kaitaba mara baada ya kuibuka Kidedea kwa kuifunga Timu ya Ijuganyondo bao 3-0. Katika Mchezo huo Kipindi cha kwanza hakuna Timu iliyopata bao kipindi cha kwanza, Kipindi cha pili goli zote tatu zilipatikana Goli la kwanza likifungwa na Denis Msuva, Bao la pili lilifungwa na Datius Peter na bao la tatu lilifungwa na Ezekiel Izack aliyekuwa amevaa jezi namba 10.
Picha zote na Faustine Ruta, Bukoba.
.
Hivyo makala BAKOBA FC MABINGWA KAMALA CUP 2018, WAIFUNGA IJUGANYONDO BAO 3-0 KWENYE FAINALI UWANJA WA KAITABA
yaani makala yote BAKOBA FC MABINGWA KAMALA CUP 2018, WAIFUNGA IJUGANYONDO BAO 3-0 KWENYE FAINALI UWANJA WA KAITABA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BAKOBA FC MABINGWA KAMALA CUP 2018, WAIFUNGA IJUGANYONDO BAO 3-0 KWENYE FAINALI UWANJA WA KAITABA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/bakoba-fc-mabingwa-kamala-cup-2018.html
0 Response to "BAKOBA FC MABINGWA KAMALA CUP 2018, WAIFUNGA IJUGANYONDO BAO 3-0 KWENYE FAINALI UWANJA WA KAITABA"
Post a Comment