ALIYEKUWA RAIS BRAZIL JELA MIAKA 12

ALIYEKUWA RAIS BRAZIL JELA MIAKA 12 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ALIYEKUWA RAIS BRAZIL JELA MIAKA 12, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ALIYEKUWA RAIS BRAZIL JELA MIAKA 12
kiungo : ALIYEKUWA RAIS BRAZIL JELA MIAKA 12

soma pia


ALIYEKUWA RAIS BRAZIL JELA MIAKA 12

Na Leandra Gabriel, Globu ya jamii
ALIYEKUWA  Rais   wa Brazil  Luiz Inancio Lula da Silva maarufu kama Lula ametakiwa kuanza kutumikia kifungo chake cha miaka 12 gerezani kwa tuhuma za rushwa ya Euro laki saba na tisini wakati wa utawala wake.

Licha ya Lula kukanusha madai hayo nusu ya majaji waliunga mkono kifungo cha da Silva licha ya wananchi wengi kutegemea mkongwe huyu wa siasa kuekana katika mbio za uchaguzi mkuu utakaofanyika mapema Octoba.

Lula anaungwa mkono na wafuasi  wake katika miji ya Sao na Bernardo ambao waliandamana kupinga adhabu hii na kutaka aachiwe huru.

Luiz Inancio da silva (72) alizaliwa October 27, 1945 akiwa Rais wa 35 kuiongoza Brazil kuanzia Januari 1 2003 hadi Januari 1 2011 na ikumbukwe kuwa Lula alikuwa rafiki wa karibu wa aliyekuwa kiongozi wa Cuba  Fidel Castro.


Hivyo makala ALIYEKUWA RAIS BRAZIL JELA MIAKA 12

yaani makala yote ALIYEKUWA RAIS BRAZIL JELA MIAKA 12 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ALIYEKUWA RAIS BRAZIL JELA MIAKA 12 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/aliyekuwa-rais-brazil-jela-miaka-12.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ALIYEKUWA RAIS BRAZIL JELA MIAKA 12"

Post a Comment