YANGA TENA UGENINI DHIDI YA SINGIDA UNITED KOMBE LA FA

YANGA TENA UGENINI DHIDI YA SINGIDA UNITED KOMBE LA FA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa YANGA TENA UGENINI DHIDI YA SINGIDA UNITED KOMBE LA FA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : YANGA TENA UGENINI DHIDI YA SINGIDA UNITED KOMBE LA FA
kiungo : YANGA TENA UGENINI DHIDI YA SINGIDA UNITED KOMBE LA FA

soma pia


YANGA TENA UGENINI DHIDI YA SINGIDA UNITED KOMBE LA FA


Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.

Droo ya upangaji wa ratiba ya michezo ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam sports Federation Cup (ASFC) imefanyika mapema mda huu na kila timu kumfahamu mpinzani wake.

Droo hiyo iliyokuwa inachezwa moja kwa moja na kituo cha Azam Tv imekamilika kwa Singida United kuwa mwenyeji wa Yanga katika uwanja wa Namfua Mkoani Singida.

Michezo mingine ni Tanzania Prisons wakiwakaribisha JKT
 Tanzania kwenye Uwanja wa Sokoine Mkoani Mbeya huku Azam wakiwa wenyeji dhidi ya Mtibwa Sugar.

Katika mchezo wa nne Stand United watavaana na Njombe Mji kwenye uwanja wa Kambarage Shinyanga.


Hivyo makala YANGA TENA UGENINI DHIDI YA SINGIDA UNITED KOMBE LA FA

yaani makala yote YANGA TENA UGENINI DHIDI YA SINGIDA UNITED KOMBE LA FA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala YANGA TENA UGENINI DHIDI YA SINGIDA UNITED KOMBE LA FA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/yanga-tena-ugenini-dhidi-ya-singida.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "YANGA TENA UGENINI DHIDI YA SINGIDA UNITED KOMBE LA FA"

Post a Comment