WATANZANIA WATAKIWA KUPIMA UGONJWA WA MACHO ANGALAU MARA MOJA KWA MWAKA.

WATANZANIA WATAKIWA KUPIMA UGONJWA WA MACHO ANGALAU MARA MOJA KWA MWAKA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WATANZANIA WATAKIWA KUPIMA UGONJWA WA MACHO ANGALAU MARA MOJA KWA MWAKA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WATANZANIA WATAKIWA KUPIMA UGONJWA WA MACHO ANGALAU MARA MOJA KWA MWAKA.
kiungo : WATANZANIA WATAKIWA KUPIMA UGONJWA WA MACHO ANGALAU MARA MOJA KWA MWAKA.

soma pia


WATANZANIA WATAKIWA KUPIMA UGONJWA WA MACHO ANGALAU MARA MOJA KWA MWAKA.

NA WAMJW-DAR ES SALAAM
WATANZANIA wametakiwa kujua afya zao hususan magonjwa yanayohusu macho angalau mara moja katika mwaka ili kuweza kutambua juu ya mustakabali wa macho yao. 
Hayo yamezengumzwa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile wakati wa   kutoa tamko katika wiki ya maadhimisho ya ugonjwa wa Shinikizo la Macho Jijini Dar es salaam. 
"Wanaohathirika zaidi na Ugonjwa huu ni Barani Afrika na watu wenye umri kuanzia miaka 40 na kuendelea hivyo watanzania tujijengee mazoea ya kwenda kuangalia afya zetu hususani ugonjwa huu angalau mara moja kwa mwaka" alisema Dkt. Ndugulile. 
Aidha Dkt. Ndugulile amesema kuwa ugonjwa huo wa shinikizo la macho huambatana na kushindwa kuona mbali na dalili zake za mwanzo si rahisi kuziona kwa wakati huo. 
Kwa mujibu wa Dkt. Ndugulile amesema kuwa takribani watu  milioni1. 74 wana changamoto ya kutoona vizuri nchini Tanzania na bado haijakadiriwa ni mikoa gani hasa ina athari kubwa kwani ukusanyaji wa takwimu bado unaendelea. 
Aidha Dkt. Ndugulile amesema kuwa matibabu ya ugonjwa wa presha ya macho   yanapatikana katika hospitali zote za serikali nchini ikiwemo dawa pamoja na upasuaji kama utawahi mapema. 
Mbali na hayo Dkt. Ndugulile alisistiza kuacha utumiaji ovyo wa vilevi, uvutaji sigara na badala yake kujikita kwenye ufanyaji wa mazoezi na kuzingatia lishe bora ili kuepuka magonjwa yasioambukiza ikiwemo kisukari, shinikizo la damu, ugonjwa wa moyo na mengineyo. 

Siku ya Ugonjwa wa presha ya macho itahadhimishwa kwa vituo vya afya kutoa huduma ya upimaji macho kuanzia tarehe 11 mpaka itapofikia kilele 17 machi 2018  na imebeba kauli mbiu   "OKOA UONI WA MACHO YAKO". 
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akielezea jambo mbele ya Waandishi wa Habari na Watumishi wa uma wakati akitoa tamko katika wiki ya maadhimisho ya ugonjwa wa Shinikizo la Macho Jijini Dar es salaam.


Hivyo makala WATANZANIA WATAKIWA KUPIMA UGONJWA WA MACHO ANGALAU MARA MOJA KWA MWAKA.

yaani makala yote WATANZANIA WATAKIWA KUPIMA UGONJWA WA MACHO ANGALAU MARA MOJA KWA MWAKA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WATANZANIA WATAKIWA KUPIMA UGONJWA WA MACHO ANGALAU MARA MOJA KWA MWAKA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/watanzania-watakiwa-kupima-ugonjwa-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WATANZANIA WATAKIWA KUPIMA UGONJWA WA MACHO ANGALAU MARA MOJA KWA MWAKA."

Post a Comment