BUNGE LA VIJANA ZANZIBAR WAADHIMISHA SIKU YA JUMUIYA YA MADOLA

BUNGE LA VIJANA ZANZIBAR WAADHIMISHA SIKU YA JUMUIYA YA MADOLA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BUNGE LA VIJANA ZANZIBAR WAADHIMISHA SIKU YA JUMUIYA YA MADOLA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BUNGE LA VIJANA ZANZIBAR WAADHIMISHA SIKU YA JUMUIYA YA MADOLA
kiungo : BUNGE LA VIJANA ZANZIBAR WAADHIMISHA SIKU YA JUMUIYA YA MADOLA

soma pia


BUNGE LA VIJANA ZANZIBAR WAADHIMISHA SIKU YA JUMUIYA YA MADOLA

 Makamo wa pili wa Rais wa baraza la Vijana , Bilal Hassan Maulid akitoa hotuba ya kuahirisha Bunge la Vijana lililofanyika ndani ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi katika kuadhimisha siku ya Jumuiya ya Madola (Commonwealth Day) Mbweni mjini Zanzibar.
 Spika wa Bunge la Vijana Hamad Juma Masoud akizungumza na Wajumbe ndani ya Bunge la Vijana   lililofanyika ndani ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi katika kuadhimisha siku ya Jumuiya ya Madola (Commonwealth Day)Mbweni mjini Zanzibar.
 Wajumbe wa Bunge la Vijana wakiinua mikono kuashiria kuunga mkono hoja ndani ya   Bunge la Vijana   lililofanyika ndani ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi katika kuadhimisha siku ya Jumuiya ya Madola (Commonwealth Day)Mbweni mjini Zanzibar.
 Mwandishi wa Habari mwandamizi na mwalimu wa maswala ya Habari Salim Said Salim akitoa maoni yake baada ya kumalizika kwa Bunge la Vijana  lililofanyika ndani ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi katika kuadhimisha siku ya Jumuiya ya Madola (Commonwealth Day)Mbweni mjini Zanzibar.
 Katibu wa Baraza la Wawakilishi, Haitham Hassan Omar akizungumza machache baada ya kumalizika kwa Bunge la Vijana  lililofanyika ndani ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi katika kuadhimisha siku ya Jumuiya ya Madola (Commonwealth Day)Mbweni mjini Zanzibar.
 Mwenyekiti wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Tawi la Zanzibar, Simai Mohammed Said akitoa hotuba kuhusiana na Bunge la Vijana lililofanyika ndani ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi katika kuadhimisha siku ya Jumuiya ya Madola (Commonwealth Day)Mbweni mjini Zanzibar.
Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi,  Hassan Juma akisisitiza jambo wakati akitoa hotuba  kuhusiana na Bunge la Vijana lililofanyika ndani ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi katika kuadhimisha siku ya Jumuiya ya Madola (Commonwealth Day)Mbweni mjini Zanzibar. 

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.


Hivyo makala BUNGE LA VIJANA ZANZIBAR WAADHIMISHA SIKU YA JUMUIYA YA MADOLA

yaani makala yote BUNGE LA VIJANA ZANZIBAR WAADHIMISHA SIKU YA JUMUIYA YA MADOLA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BUNGE LA VIJANA ZANZIBAR WAADHIMISHA SIKU YA JUMUIYA YA MADOLA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/bunge-la-vijana-zanzibar-waadhimisha.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BUNGE LA VIJANA ZANZIBAR WAADHIMISHA SIKU YA JUMUIYA YA MADOLA"

Post a Comment