title : Wasanii wa Filamu Nchini Waaswa Kuzingatia Maadili
kiungo : Wasanii wa Filamu Nchini Waaswa Kuzingatia Maadili
Wasanii wa Filamu Nchini Waaswa Kuzingatia Maadili
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania (KBF), Joyce Fissoo akionyesha Leseni inayotolewa na bodi hiyo kwa ajili ya waendeshaji wa vibanda vya kuonyeshea filamu wakati wa kikao kazi cha wadau wa tasnia ya Filamu na Maafisa Utamaduni wa Mkoa wa Arusha kilichofanyika jana Jijini Arusha. Kutoka kushoto ni Afisa Utamaduni wa Mkoa wa Arusha Bi. Irene Ngao na Afisa Utamaduni wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha Gasper Tesha.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania (KBF), Joyce Fissoo akiwasilisha mada wakati wa kikao kazi cha wadau wa tasnia ya Filamu na Maafisa Utamaduni wa Mkoa wa Arusha kilichofanyika jana Jijini Arusha.
Afisa Utamaduni wa Mkoa wa Arusha akisisitiza jambo wakati wa kikao kazi cha wadau wa tasnia ya Filamu na Maafisa Utamaduni wa Mkoa wa Arusha kilichofanyika jana Jijini Arusha. Katikati ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania (KBF), Joyce Fissoo na kulia ni Afisa Utamduni wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru.
Katibu wa Umoja wa Wasanii wa Filamu na Michezo ya Kuigiza Mkoa wa Arusha (TDFA), Said Mohamed Gogola akichangia mada wakati wa kikao kazi cha wadau wa tasnia ya Filamu na Maafisa Utamaduni wa Mkoa wa Arusha kilichofanyika jana Jijini Arusha.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania (KBF), Joyce Fissoo (waliokaa kwenye viti katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa kikao kazi cha wadau wa tasnia ya Filamu na Maafisa Utamaduni wa Mkoa wa Arusha kilichofanyika jana Jijini Arusha.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania (KBF), Joyce Fissoo (kulia) akiagana na Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha, Hargeney Chitukuro mara baada ya kumaliza kikao kazi cha wadau wa tasnia ya Filamu na Maafisa Utamaduni wa Mkoa wa Arusha kilichofanyika jana Jijini Arusha.
Hivyo makala Wasanii wa Filamu Nchini Waaswa Kuzingatia Maadili
yaani makala yote Wasanii wa Filamu Nchini Waaswa Kuzingatia Maadili Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wasanii wa Filamu Nchini Waaswa Kuzingatia Maadili mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/wasanii-wa-filamu-nchini-waaswa.html
0 Response to "Wasanii wa Filamu Nchini Waaswa Kuzingatia Maadili"
Post a Comment