WAKAZI WA KATA TANO DAR WAMUOMBA RAIS MAGUFULI KUINGILIA KATI UBOMOAJI WA NYUMBA ZAO

WAKAZI WA KATA TANO DAR WAMUOMBA RAIS MAGUFULI KUINGILIA KATI UBOMOAJI WA NYUMBA ZAO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAKAZI WA KATA TANO DAR WAMUOMBA RAIS MAGUFULI KUINGILIA KATI UBOMOAJI WA NYUMBA ZAO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAKAZI WA KATA TANO DAR WAMUOMBA RAIS MAGUFULI KUINGILIA KATI UBOMOAJI WA NYUMBA ZAO
kiungo : WAKAZI WA KATA TANO DAR WAMUOMBA RAIS MAGUFULI KUINGILIA KATI UBOMOAJI WA NYUMBA ZAO

soma pia


WAKAZI WA KATA TANO DAR WAMUOMBA RAIS MAGUFULI KUINGILIA KATI UBOMOAJI WA NYUMBA ZAO

Na Chalila Kibuda,Globu ya jamii
WAKAZI wa Kata  tano  wa Jiji la Dar es Salaam wamemuomba Rais Dk. John Magufuli kuingilia kati ubomoaji wa  nyumba kata hizo katika kupisha ujenzi wa bomba la Maji la Ruvu.

Kata zitazoathirika kwa makazi katika upanuzi wa ujenzi wa bomba la Ruvu Juu ni Wazo, Salasala, Bunju Mbweni pamoja na Mabwepande

Akizungumza na waandishi wa habari mkazi wa Salasala Dk. Julian Bujugo amesema hawapati usingizi tangu walivyoambiwa wavunje nyumba zao wakati sheria inawalinda.

Amesema sheria ya mwaka 2001 ya Dawasa katika ujenzi wa mabomba yao ni mita tano (5) lakini sasa wameambiwa ni mita 15 ambazo hiziko katika sheria 

Bujugo amesema kuwa katika suala hilo walitaka kwenda mahakamani lakini waliona wazungumze ili kuweza kusema kwa Serikali kitu ambacho kinawatatanisha kuhusu  uboaji huo.

Amesema kuwa Rais Dk.Magufuli ni mtetezi wa wanyonge,hivyo kwa wakazi wa kata tano jicho lao ni kwa Rais na  sheria inawafanya kuwa halali.

Bujugo amemuomba Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuangalia suala lao kwani hawana sehemu ya kukimbilia.
Mkazi wa Salasala na Diwani wa Kata ya Magomeni, Dk.Julian Bujugo akizungumza na waandishi habari kuhusiana na ubomoaji wa nyumba zao ambapo ni kinyume cha sheria  jijini Dar es Salaam.


Hivyo makala WAKAZI WA KATA TANO DAR WAMUOMBA RAIS MAGUFULI KUINGILIA KATI UBOMOAJI WA NYUMBA ZAO

yaani makala yote WAKAZI WA KATA TANO DAR WAMUOMBA RAIS MAGUFULI KUINGILIA KATI UBOMOAJI WA NYUMBA ZAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAKAZI WA KATA TANO DAR WAMUOMBA RAIS MAGUFULI KUINGILIA KATI UBOMOAJI WA NYUMBA ZAO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/wakazi-wa-kata-tano-dar-wamuomba-rais.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAKAZI WA KATA TANO DAR WAMUOMBA RAIS MAGUFULI KUINGILIA KATI UBOMOAJI WA NYUMBA ZAO"

Post a Comment