title : WAFANYABIASHARA WADOGO WAANZA KUPEWA VITAMBULISHO VYA TRA
kiungo : WAFANYABIASHARA WADOGO WAANZA KUPEWA VITAMBULISHO VYA TRA
WAFANYABIASHARA WADOGO WAANZA KUPEWA VITAMBULISHO VYA TRA
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema akimkabidhi mmoja wa wafanyabiashara kitambulisho na Namba ya Utambulisho ya Mlipakodi (TIN) wakati wa uzinduzi wa zoezi la utoaji vitambulisho Dar es Salaam Machi 27, 2018. Pamoja naye ni Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA), Charles Kichere (mwenye miwani) na viongozi waandamizi wa Mamlaka hiyo. 
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA), Charles Kichere (wa pili kulia) na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema wakipata maelezo kutoka kwa Afisa wa Kodi, Dina Kaka jinsi ya kuandaa risiti ya kitambulisho cha Mfanyabiashara wakati wa uzinduzi wa zoezi la utoaji vitambulisho.
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA), Charles Kichere akimkabidhi Mfanyabiashara Mshamu Nakukwa kitambulisho wakati wa uzinduzi wa zoezi la utoaji vitambulisho Dar es Salaam Machi 27, 2018.
Hivyo makala WAFANYABIASHARA WADOGO WAANZA KUPEWA VITAMBULISHO VYA TRA
yaani makala yote WAFANYABIASHARA WADOGO WAANZA KUPEWA VITAMBULISHO VYA TRA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAFANYABIASHARA WADOGO WAANZA KUPEWA VITAMBULISHO VYA TRA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/wafanyabiashara-wadogo-waanza-kupewa.html
0 Response to "WAFANYABIASHARA WADOGO WAANZA KUPEWA VITAMBULISHO VYA TRA"
Post a Comment