UWT KINONDONI YAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KWA KUTOA MSAADA MWANANYAMALA HOSPITALI

UWT KINONDONI YAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KWA KUTOA MSAADA MWANANYAMALA HOSPITALI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UWT KINONDONI YAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KWA KUTOA MSAADA MWANANYAMALA HOSPITALI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UWT KINONDONI YAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KWA KUTOA MSAADA MWANANYAMALA HOSPITALI
kiungo : UWT KINONDONI YAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KWA KUTOA MSAADA MWANANYAMALA HOSPITALI

soma pia


UWT KINONDONI YAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KWA KUTOA MSAADA MWANANYAMALA HOSPITALI

 Mjumbe wa halmashauri kuu (MNEC UWT), Halima Okashi akitoa zawadi kwa Mmoja ya Wanawake waliolazw aktika wodi ya wamama katika Hospitali ya Mwananyamala ambapo UWT Kinondoni walifika katika Hospitali hiyo kutoa Msaada katika kuadhimisha  siku ya Wanawake Dunia
 Katibu wa UWT CCM Wilaya ya Kinondoni, Nuru Mwaibako, akiwa na Diwani Viti maalum CCM  Kinondoni  Frolenece Masunga wakikabidhi zawadi kwa Wanawake waliofka katika Clinic ya Hospitali ya Mwananyamala na watoto wao, UWT Kinondoni wamefanya maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani kwa kuwatembelea wamama waliopo katika Hospitali ya Mwananyamala.
Diwani Viti maalum CCM  Kinondoni  Frolenece Masunga akiwa amemshika mmoja ya Watoto waliofika kutibiwa katika Hospitali ya Mwananyamala leo wakati wa maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani.
Ujumbe wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Kinondoni kwa Pamoja wakimkabidhi zawadi Mganga wa Hospitlai hiyo kwa ajili ya Wanawake wa Hospitali hiyo.
Ujumbe wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Kinondoni, ukiwasili katika Hospitali ya Mwananyamala ukiongozwa na Mjumbe wa halmashauri kuu (MNEC UWT), Halima Okashi


Hivyo makala UWT KINONDONI YAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KWA KUTOA MSAADA MWANANYAMALA HOSPITALI

yaani makala yote UWT KINONDONI YAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KWA KUTOA MSAADA MWANANYAMALA HOSPITALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UWT KINONDONI YAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KWA KUTOA MSAADA MWANANYAMALA HOSPITALI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/uwt-kinondoni-yaadhimisha-siku-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UWT KINONDONI YAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KWA KUTOA MSAADA MWANANYAMALA HOSPITALI"

Post a Comment