TUCTA KUTUMIA KONGAMANO LA WANAWAKE KUJADILI CHANGAMOTO SEHEMU ZA KAZI

TUCTA KUTUMIA KONGAMANO LA WANAWAKE KUJADILI CHANGAMOTO SEHEMU ZA KAZI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TUCTA KUTUMIA KONGAMANO LA WANAWAKE KUJADILI CHANGAMOTO SEHEMU ZA KAZI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TUCTA KUTUMIA KONGAMANO LA WANAWAKE KUJADILI CHANGAMOTO SEHEMU ZA KAZI
kiungo : TUCTA KUTUMIA KONGAMANO LA WANAWAKE KUJADILI CHANGAMOTO SEHEMU ZA KAZI

soma pia


TUCTA KUTUMIA KONGAMANO LA WANAWAKE KUJADILI CHANGAMOTO SEHEMU ZA KAZI

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii

SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania(TUCTA) limesema
litatumia kongamano la Siku ya wanawake linalotarajiwa kufanyika
kesho  kujadili nafasi ya mwanamke na namna ya kutatua changamoto
zinazowakabili maeneo ya kazi.

Akizungumza jana, Mwenyekiti wa Kamati ya Wanawake wa TUCTA,
Rehema Ludaga amesema kongamano litafanyika jijini Dar es Salaam
ikiwa ni siku moja kabla ya kilele cha Siku ya Wanawake Duniani
ambayo ni Machi 8 ya kila mwaka.

"Tutatumia kongamano letu la Machi 7(kesho) kujadili mambo
mbalimbali yanayowakabili wanawake kwenye maeneo ya kazi na moja
ya mjadala utahusu namna ya kuangalia changamoto zilizopo na  nini
kifanyike kukabiliana nazo au kuziondoa kabisa"amesema Ludaga.

Kuhusu kauli mbiu ya mwaka huu kwenye maadhimisho ya siku ya
mwanamke duniani inasema hivi "Tathimini ya Unyanyasaji wa kijinsia
mahala pakazi".

Kwa upande wa Katibu Mkuu wa TUCTA, Dk.Yahya Msigwa amesema
kila mwaka wanafanya kongamano ila kupata mawazo ya wanawake
kwa lengo la kuboresha mahali pakazi na mgeni rasmi kwenye
kongamano anatarajiwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala Dar es Salaam
Sophia Mjema.
Mwenyekiti wa Kamati ya Wanawake wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), Rehema Ludaga akizungumza kuhusiana na Kongamano siku ya wanawake, jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu wa TUCTA, Dk. Yahya Msigwa akizungumza na kuhusiana na utaratibu wa TUCTA kuandaa kongamano la wanawake.


Hivyo makala TUCTA KUTUMIA KONGAMANO LA WANAWAKE KUJADILI CHANGAMOTO SEHEMU ZA KAZI

yaani makala yote TUCTA KUTUMIA KONGAMANO LA WANAWAKE KUJADILI CHANGAMOTO SEHEMU ZA KAZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TUCTA KUTUMIA KONGAMANO LA WANAWAKE KUJADILI CHANGAMOTO SEHEMU ZA KAZI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/tucta-kutumia-kongamano-la-wanawake.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TUCTA KUTUMIA KONGAMANO LA WANAWAKE KUJADILI CHANGAMOTO SEHEMU ZA KAZI"

Post a Comment