TRA YAWAPA SOMO WANAHABARI JIJINI DAR

TRA YAWAPA SOMO WANAHABARI JIJINI DAR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TRA YAWAPA SOMO WANAHABARI JIJINI DAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TRA YAWAPA SOMO WANAHABARI JIJINI DAR
kiungo : TRA YAWAPA SOMO WANAHABARI JIJINI DAR

soma pia


TRA YAWAPA SOMO WANAHABARI JIJINI DAR

Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Richard Kayombo (aliyesimama mbele) akiwaelimisha baadhi ya Waandishi wa habari waliohudhuria Semina Maalum iliyohusu masuala ya kodi hususani katika matumizi ya mashine za Kielektriniki za kutolea Risiti (EFD), masuala ya utoaji taarifa ya fedha mpakani pamoja na masuala ya Wiki ya Elimu kwa Mlipakodi inayotarajiwa kuanza mapema tarehe 5 - 9 Machi, 2018.
Meneja wa Elimu kwa Mlipakodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) , Bibi Diana Masalla (aliyesimama mbele) akiwaelimisha baadhi ya Waandishi wa habari waliohudhuria Semina Maalum iliyohusu masuala ya kodi hususani katika matumizi ya mashine za Kielektriniki za kutolea Risiti (EFD), masuala ya utoaji taarifa ya fedha mpakani pamoja na masuala ya Wiki ya Elimu kwa Mlipakodi inayotarajiwa kuanza mapema tarehe 5 - 9 Machi, 2018. 
Baadhi ya Waandishi wa habari waliohudhuria Semina iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakifuatilia uwasilishwaji wa mada toka kwa baadhi ya Watendaji wa Mamlaka hiyo (hawapo pichani) katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), 3 Machi, 2018 Jijini Dar es Salaam.(PICHA NA BENEDICT LIWENGA-SPRO-TRA HQ)


Hivyo makala TRA YAWAPA SOMO WANAHABARI JIJINI DAR

yaani makala yote TRA YAWAPA SOMO WANAHABARI JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TRA YAWAPA SOMO WANAHABARI JIJINI DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/tra-yawapa-somo-wanahabari-jijini-dar.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TRA YAWAPA SOMO WANAHABARI JIJINI DAR"

Post a Comment