title : Taifa Stars na DR Congo ngoma bado mbichi, mtanange unaendelea Taifa
kiungo : Taifa Stars na DR Congo ngoma bado mbichi, mtanange unaendelea Taifa
Taifa Stars na DR Congo ngoma bado mbichi, mtanange unaendelea Taifa
Mchezo wa kirafiki wa kimataifa wa kalenda ya FIFA baina ya Taifa Stars na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo umeanza katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
Kipindi cha pili kimeanza matokeo bado 0-0.

Mashabiki wa Taifa Stars wakionesha Uzalendo ndani ya Uwanja wa Taifa.
Simon Msuva akipambana na Glody Ngoda katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa unaoendelea Jijini Dar es Salaam.
Kikosi cha Taifa Stars
Kikosi cha DR Congo.
Hivyo makala Taifa Stars na DR Congo ngoma bado mbichi, mtanange unaendelea Taifa
yaani makala yote Taifa Stars na DR Congo ngoma bado mbichi, mtanange unaendelea Taifa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Taifa Stars na DR Congo ngoma bado mbichi, mtanange unaendelea Taifa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/taifa-stars-na-dr-congo-ngoma-bado.html
0 Response to "Taifa Stars na DR Congo ngoma bado mbichi, mtanange unaendelea Taifa"
Post a Comment