title : SIMBA YATAJA KIINGILIO CHA MECHI YAO DHIDI YA AL-MASRY MICHUANO YA KOMBE LA SHIRIKISHO
kiungo : SIMBA YATAJA KIINGILIO CHA MECHI YAO DHIDI YA AL-MASRY MICHUANO YA KOMBE LA SHIRIKISHO
SIMBA YATAJA KIINGILIO CHA MECHI YAO DHIDI YA AL-MASRY MICHUANO YA KOMBE LA SHIRIKISHO
Klabu ya Simba inatarajia kucheza mchezo wake wa Kombe la Shirikisho dhidi ya klabu ya Al Masry kutoka nchini Misri siku ya Jumatano ya tarehe 7/3/2018 katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam.
Mchezo huo unatarajiwa kuanza mishale ya saa 12 kamili jioni, Aidha viingilio katika mchezo huo vinataraji kuwa katika bei zifuatavyo;-
VIP A – Tsh 20000
VIP B – Tsh 15000
III. Mzunguko/Orange – Tsh 5000.
Tiketi za kuingilia uwanjani siku hiyo zitaanza kuuzwa siku ya Jumatatu kwa mawakala wa Selcom na vituo vitakavyotangazwa hapo baadae.
Klabu inawaomba mashabiki na wapenzi wa klabu kujitokeza kwa wingi siku hiyo kuishangilia timu yao itakapokuwa inacheza, aidha inawakumbusha kununua tiketi za mechi hiyo kwa wakati.
Katika hatua nyingine,Klabu ya Al Masri inataraji kuwasili nchini siku ya Kesho Jumapili majira ya saa 12 jioni,na itafanya mazoezi siku ya Jumatatu jioni katika Uwanja Taifa.
Pia,waamuzi wa mchezo huo kutoka nchini Afrika kusini wanatarji kuwasili nchini siku ya Jumatatu saa 10 jioni.
Imetolewa na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano,
Simba Sports Club,
Haji S. Manara
3/3/2018
Simba Nguvu Moja..!!!
Hivyo makala SIMBA YATAJA KIINGILIO CHA MECHI YAO DHIDI YA AL-MASRY MICHUANO YA KOMBE LA SHIRIKISHO
yaani makala yote SIMBA YATAJA KIINGILIO CHA MECHI YAO DHIDI YA AL-MASRY MICHUANO YA KOMBE LA SHIRIKISHO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SIMBA YATAJA KIINGILIO CHA MECHI YAO DHIDI YA AL-MASRY MICHUANO YA KOMBE LA SHIRIKISHO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/simba-yataja-kiingilio-cha-mechi-yao.html

0 Response to "SIMBA YATAJA KIINGILIO CHA MECHI YAO DHIDI YA AL-MASRY MICHUANO YA KOMBE LA SHIRIKISHO"
Post a Comment