title : RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WATENDAJI WAKUU WA KIWANDA CHA BIA TANZANIA BREWERIES LIMITED (TBL) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WATENDAJI WAKUU WA KIWANDA CHA BIA TANZANIA BREWERIES LIMITED (TBL) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WATENDAJI WAKUU WA KIWANDA CHA BIA TANZANIA BREWERIES LIMITED (TBL) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Ricardo Tadeu Rais wa Kampuni ya Anheuser-Busch InBev katika ukanda wa Afrika ambao ni Wanahisa wakuu wa Kampuni ya Bia ya Tanzania Breweries Ltd kabla ya kuanza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Phillip Mpango kabla ya kuanza kikao chake na Rais wa Kampuni ya Anheuser-Busch InBev Ricardo Tadeu katika ukanda wa Afrika ambao ni Wanahisa wakuu wa Kampuni ya Bia ya Tanzania Breweries Ltd ambayo inatarajia kujenga kiwanda kikubwa cha Bia mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo mara baada ya kikao chake na ujumbe wa Kampuni ya Bia ya Tanzania Breweries Ltd uliokuwa ukiongozwa na Rais wa Kampuni ya Anheuser-Busch InBev Ricardo Tadeu ambao ni wanahisa wakuu wa Kampuni hio ya TBL.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Kampuni ya Anheuser-Busch InBev Ricardo Tadeu mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mmoja wa Wakurugenzi wa TBL katika ukanda wa Afrika Mashariki Roberto Jarrin mara baada ya mazungumzo na ujumbe huo.
Hivyo makala RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WATENDAJI WAKUU WA KIWANDA CHA BIA TANZANIA BREWERIES LIMITED (TBL) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WATENDAJI WAKUU WA KIWANDA CHA BIA TANZANIA BREWERIES LIMITED (TBL) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WATENDAJI WAKUU WA KIWANDA CHA BIA TANZANIA BREWERIES LIMITED (TBL) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/rais-mhe-dkt-magufuli-akutana-na.html
0 Response to "RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WATENDAJI WAKUU WA KIWANDA CHA BIA TANZANIA BREWERIES LIMITED (TBL) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment