title : Rais Magufuli apokea ripoti ya hesabu za Serikali ya 2016/17 kutoka kwa CAG
kiungo : Rais Magufuli apokea ripoti ya hesabu za Serikali ya 2016/17 kutoka kwa CAG
Rais Magufuli apokea ripoti ya hesabu za Serikali ya 2016/17 kutoka kwa CAG
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) mezani kwake mara baada ya kuzipokea kutoka kwa CAG Profesa Mussa Assad Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza wakati akitolea ufafanuzi baadhi ya hoja zilizowasilishwa katika taarifa hiyo ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa ajili ya kwenda kuifanyia kazi pamoja na Mawaziri, Manaibu Waziri, Makatibu Wakuu na Wakuu wa Taasisi mbalimbali za Serikali.
Baadhi ya Mawaziri waliohudhuri katika tukio la uwasilishwaji wa Taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG wakifatilia kwa makini taarifa hiyo Ikulu jijini Dar es Salaam.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala Rais Magufuli apokea ripoti ya hesabu za Serikali ya 2016/17 kutoka kwa CAG
yaani makala yote Rais Magufuli apokea ripoti ya hesabu za Serikali ya 2016/17 kutoka kwa CAG Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais Magufuli apokea ripoti ya hesabu za Serikali ya 2016/17 kutoka kwa CAG mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/rais-magufuli-apokea-ripoti-ya-hesabu.html
0 Response to "Rais Magufuli apokea ripoti ya hesabu za Serikali ya 2016/17 kutoka kwa CAG"
Post a Comment