title : RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA KIWANDA CHA KUSINDIKA NA KUZALISHA MAFUTA YA ALIZETI CHA MOUNT MERU MILLERS KILICHOPO MKOANI SINGIDA
kiungo : RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA KIWANDA CHA KUSINDIKA NA KUZALISHA MAFUTA YA ALIZETI CHA MOUNT MERU MILLERS KILICHOPO MKOANI SINGIDA
RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA KIWANDA CHA KUSINDIKA NA KUZALISHA MAFUTA YA ALIZETI CHA MOUNT MERU MILLERS KILICHOPO MKOANI SINGIDA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifunua pazia kuashiria ufunguzi wa kiwanda kikubwa cha Kusindika na kuzalisha mafuta ya Alizeti cha Mount Meru Millers kilichopo mkoani Singida. Kiwanda hicho kina uwezo wa kuzalisha tani elfu tisini za mafuta ya alizeti kwa mwaka.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria ufunguzi wa kiwanda hicho kikubwa cha kusindika Alizeti cha Mount meru millers kilichopo mkoani Singida. Wengine katika picha ni Mkuu wa mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi, Waziri wa Mambo ya Ndani Dkt. Mwigulu Nchemba, mmiliki wa Kiwanda hicho Atul Mittal mwenye nguo nyeupe na Waziri wa Viwanda na Biashara Charles Mwijage.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akielekea kwenda kukagua shughuli mbalimbali za kiwanda hicho cha usindikaji wa Alizeti kilichopo mkoani Singida.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiombewa na viongozi wa Kidini kutoka Singida mara baada ya kufungua kiwanda hicho cha usindikaji wa Alizeti.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa kiwanda hicho cha usindikaji wa Alizeti.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza mmiliki wa Kiwanda cha Mount Meru Millers Atul Mittal mara baada ya kumaliza kutoa hotuba yake ya uzinduzi wa kiwanda hicho cha usindikaji wa Alizeti mkoani Singida. PICHA NA IKULU
Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA KIWANDA CHA KUSINDIKA NA KUZALISHA MAFUTA YA ALIZETI CHA MOUNT MERU MILLERS KILICHOPO MKOANI SINGIDA
yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA KIWANDA CHA KUSINDIKA NA KUZALISHA MAFUTA YA ALIZETI CHA MOUNT MERU MILLERS KILICHOPO MKOANI SINGIDA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA KIWANDA CHA KUSINDIKA NA KUZALISHA MAFUTA YA ALIZETI CHA MOUNT MERU MILLERS KILICHOPO MKOANI SINGIDA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/rais-dkt-magufuli-afungua-kiwanda-cha.html
0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA KIWANDA CHA KUSINDIKA NA KUZALISHA MAFUTA YA ALIZETI CHA MOUNT MERU MILLERS KILICHOPO MKOANI SINGIDA"
Post a Comment