Profesa Mubofu Makamu Mkuu wa Chuo Mpya UDOM.

Profesa Mubofu Makamu Mkuu wa Chuo Mpya UDOM. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Profesa Mubofu Makamu Mkuu wa Chuo Mpya UDOM., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Profesa Mubofu Makamu Mkuu wa Chuo Mpya UDOM.
kiungo : Profesa Mubofu Makamu Mkuu wa Chuo Mpya UDOM.

soma pia


Profesa Mubofu Makamu Mkuu wa Chuo Mpya UDOM.

Na Paschal Dotto-MAELEZO   


    

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Rais Mstaafu (Awamu ya Tatu), Mhe. Benjamin William Mkapa ametangaza uteuzi wa  Profesa Egid Beatus Mubofu kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu hicho, nafasi iliyokuwa inashikiliwa na Profesa Idris Suleiman Kikula.




Uteuzi huo umetangazwa rasmi leo tarehe 5, Machi 2018 kupitia taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na ofisi   ya Mkuu wa UDOM, Mhe. Benjamin Mkapa.




Kabla ya uteuzi huo Profesa Mubofu alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), na kabla ya hapo alikuwa Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).




Kwa mujibu wa taarifa hiyo, uteuzi wa Profesa Mubofu unaanza rasmi tarehe 17 Machi, 2018.




Profesa Idris Kikula ni miongoni mwa wanazuoni waandamizi wanaoheshimika ndani  na nje ya nchi kitaaluma kwa kushiriki katika tafiti mbalimbali za kisayansi na kijamii




Ameshiriki katika tafiti hizo kwa kushirikiana na taasisi nguli za kitafiti hapa nchini  kama REPOA, pamoja na taasisi ya UONGOZI.




UDOM ndio chuo kikuu pekee chenye uwezo mkubwa wa kuchukua wanafunzi wengi hapa nchini na Afrika Kusini mwa jangwa la Sahara na inakadiriwa kina uwezo wa kuchukua wanafunzi takriban 40,000, pia kina eneo la ukubwa wa hekari zaidi ya 6000.


Hivyo makala Profesa Mubofu Makamu Mkuu wa Chuo Mpya UDOM.

yaani makala yote Profesa Mubofu Makamu Mkuu wa Chuo Mpya UDOM. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Profesa Mubofu Makamu Mkuu wa Chuo Mpya UDOM. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/profesa-mubofu-makamu-mkuu-wa-chuo-mpya_5.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Profesa Mubofu Makamu Mkuu wa Chuo Mpya UDOM."

Post a Comment