NEWS ALERT:WAWILI WAPOTEZA MAISHA,MKURUGENZI TBC ANUSURIKA KIFO KUFUATIA AJALI YA GARI WILAYANI KASULU,MKOANI KIGOMA

NEWS ALERT:WAWILI WAPOTEZA MAISHA,MKURUGENZI TBC ANUSURIKA KIFO KUFUATIA AJALI YA GARI WILAYANI KASULU,MKOANI KIGOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NEWS ALERT:WAWILI WAPOTEZA MAISHA,MKURUGENZI TBC ANUSURIKA KIFO KUFUATIA AJALI YA GARI WILAYANI KASULU,MKOANI KIGOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NEWS ALERT:WAWILI WAPOTEZA MAISHA,MKURUGENZI TBC ANUSURIKA KIFO KUFUATIA AJALI YA GARI WILAYANI KASULU,MKOANI KIGOMA
kiungo : NEWS ALERT:WAWILI WAPOTEZA MAISHA,MKURUGENZI TBC ANUSURIKA KIFO KUFUATIA AJALI YA GARI WILAYANI KASULU,MKOANI KIGOMA

soma pia


NEWS ALERT:WAWILI WAPOTEZA MAISHA,MKURUGENZI TBC ANUSURIKA KIFO KUFUATIA AJALI YA GARI WILAYANI KASULU,MKOANI KIGOMA


Na Rhoda Ezekiel Kigoma,

Watu wawili wamefariki Dunia wilayani Kasulu mkoani Kigoma kufuatia ajali ya gari la Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania TBC Dkt. Ayub Rioba, lililokuwa likitokea wilayani Kibondo kwenda Kigoma Mjini.
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Kigoma, Kamishna Msaidizi Martin Otieno amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kusema kuwa chanzo cha ajali hiyo ni utelezi uliosababisha gari kuacha njia na kuwagonga waenda kwa miguu watatu.

Kamanda  Otieno aliwataja waliofariki katika ajali hiyo kuwa ni watembea kwa miguu wawili, waliofahamika kwa majina ya Teresia Mpoma (55) mkulima na Mkazi wa Nyakitonto, Yuster Masharubu (55) mkazi wa Nyakitonto na Majeruhi mmoja aliefahamika kwa jina la Diana Shedrack (10) mwanafunzi shule ya Msingi Nyakitonto, ambae hali yake ilielezwa kuwa mbaya huku akiendelea na matibabu katika Hospitali ya Wilaya ya Kasulu.

Amesmea Gari la Mkurugenzi Mkuu wa TBC lililopata ajali lenye namba za usajili STK 8769 lilikuwa na abiria wawili akiwemo mkurugenzi mkuu wa TBC, Dkt. Ayub Rioba na Mkuu wa kanda ya magharibi TBC Mhandisi Zebron Mafuru ambao wote wametoka salama na hali zao ni nzuri.

Kamanda Otieno aliongeza kuwa kutoa tahadhari kufuatia  Chanzo cha ajali hiyo kuwa ni utelezi unaotokana na Mvua zinazoendelea kunyesha Katika Mkoa huo,hivyo amewaomba madereva kuendesha magari kwa umakini kutokana na ubovu wa barabara hiyo na kuzingatia sheria za barabarani.

Dkt. Rioba yuko katika ziara ya kukagua vituo vipya vya matangazo vilivyojengwa katika maeneo ya mipakani.

 Pichani kushoto ni Mkurugenzi mkuu wa TBC, Dkt. Ayub Rioba baada ya kunusurika kifo akiwa eneo la tukio pamoja na Polisi waliofika ku
 Gari la Mkurugenzi Mkuu wa TBC lililopata ajali lenye namba za usajili STK 8769 lilikuwa na abiria wawili akiwemo mkurugenzi mkuu wa TBC, Dkt. Ayub Rioba na Mkuu wa kanda ya magharibi TBC Mhandisi Zebron Mafuru ambao wote wametoka salama na hali zao ni nzuri.

.


Hivyo makala NEWS ALERT:WAWILI WAPOTEZA MAISHA,MKURUGENZI TBC ANUSURIKA KIFO KUFUATIA AJALI YA GARI WILAYANI KASULU,MKOANI KIGOMA

yaani makala yote NEWS ALERT:WAWILI WAPOTEZA MAISHA,MKURUGENZI TBC ANUSURIKA KIFO KUFUATIA AJALI YA GARI WILAYANI KASULU,MKOANI KIGOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NEWS ALERT:WAWILI WAPOTEZA MAISHA,MKURUGENZI TBC ANUSURIKA KIFO KUFUATIA AJALI YA GARI WILAYANI KASULU,MKOANI KIGOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/news-alertwawili-wapoteza.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "NEWS ALERT:WAWILI WAPOTEZA MAISHA,MKURUGENZI TBC ANUSURIKA KIFO KUFUATIA AJALI YA GARI WILAYANI KASULU,MKOANI KIGOMA"

Post a Comment