title : Ndege Ya Tanzania aina ya Bombardier Q400 iliyokuwa imeshikiliwaa nchini Canada imeachiwa
kiungo : Ndege Ya Tanzania aina ya Bombardier Q400 iliyokuwa imeshikiliwaa nchini Canada imeachiwa
Ndege Ya Tanzania aina ya Bombardier Q400 iliyokuwa imeshikiliwaa nchini Canada imeachiwa

Kwa Mujibu wa Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Ikulu, Gerson Msigwa amesema Ndege ya Tanzania iliyokuwa inashikiliwa nchini Canada imeshaondoka nchini humo na inarejea Tanzania.
Msigwa ameandika hayo kupitia ukurasa wakwe wa mtandao wa kijamii wa Twitter
Pia Msigwa ameongeza kuwa Ndege 3 kubwa, Mbili aina ya Bombardier CS300 kutoka Canada na Moja Boeing 787-8 Dreamliner kutoka Marekani zitawasili baadae mwaka huu
"Ndege yetu aina ya Bombardier Q400 iliyokuwa imezuiliwa nchini Canada ilikwishaondoka Canada kuja Tanzania. Aidha, ndege kubwa nyingine 3 (2 Bombardier CS300 kutoka Canada & 1 Boeing 787-8 Dreamliner kutoka Marekani) zitawasili baadaye mwaka huu. Nawatakia Ijumaa Kuu njema."-Msigwa
Hivyo makala Ndege Ya Tanzania aina ya Bombardier Q400 iliyokuwa imeshikiliwaa nchini Canada imeachiwa
yaani makala yote Ndege Ya Tanzania aina ya Bombardier Q400 iliyokuwa imeshikiliwaa nchini Canada imeachiwa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Ndege Ya Tanzania aina ya Bombardier Q400 iliyokuwa imeshikiliwaa nchini Canada imeachiwa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/ndege-ya-tanzania-aina-ya-bombardier.html
0 Response to "Ndege Ya Tanzania aina ya Bombardier Q400 iliyokuwa imeshikiliwaa nchini Canada imeachiwa"
Post a Comment