MNEC SALIMU ASAS ACHANGIA MAENDELEO YA UWT IRINGA MJINI.

MNEC SALIMU ASAS ACHANGIA MAENDELEO YA UWT IRINGA MJINI. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MNEC SALIMU ASAS ACHANGIA MAENDELEO YA UWT IRINGA MJINI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MNEC SALIMU ASAS ACHANGIA MAENDELEO YA UWT IRINGA MJINI.
kiungo : MNEC SALIMU ASAS ACHANGIA MAENDELEO YA UWT IRINGA MJINI.

soma pia


MNEC SALIMU ASAS ACHANGIA MAENDELEO YA UWT IRINGA MJINI.

Na Fredy Mgunda,Iringa.

MJUMBE wa halmashauri kuu ya Taifa ya chama cha Mapinduzi (CCM) MNEC Salimu ASAS ameendelea kuineemesha jumiya ya umoja wa wanawake mkoa wa Iringa (UWT) kwa kutoa kiasi cha shilingi milioni nne (4,000,000) kwa jumuiya hiyo wilaya ya Iringa Mjini kwa ajili ya kuendeleza miradi ya umoja huo na kuondokana kuwa tegemezi. 

Pesa hizo zimetolewa wakati wa baraza la umoja wa wanawake wilaya ya Iringa Mjini mkoani (UWT) lilofanyika katika ukumbi wa chama cha mapinduzi ulipo Iringa Mjini na kuhudhuriwa na wageni wengi wakiwepo wabunge wa viti maalum ambao ni Ritta Kabati na Rose Tweve 

Akizungumza katika baraza hilo MNEC Asas alisema kuwa amependezwa na mikakati ambayo imefanya na umoja huo wa wilaya ya Iringa Mjini kwa kuwa wanafanya kazi na viongozi pamoja na wananchi wa chini hivyo inakuwa rahisi kuendelea kukijenga chama hicho.

Nimeona kwenye hotuba yenu mmesema kuwa “mtahakikisha kuwa wanawake wanajiunga kwenye vikundi vya uzalishaji kama vile vikoba ,saccos na vikundi vingine ili waweze kupata mafunzo stahiki ya ujasiliamali kwa lengo la kupambana na hali ya kiuchumi na kuongeza kipato,”hakika kwa kufanya hivi mtawaokoa wanawake wengi sana kiuchumi. Alisema Asas 
Mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa ya chama cha mapinduzi (CCM) MNEC Salimu Asas akiongea na wajumbe wa baraza la UWT manispaa ya Iringa lilofanyika katika ukumbi wa CCM sabasaba na kutoa jumla ya shilingi milioni kumi na tatu(13,000,000) kwa UWT Iringa Mjini
Mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa ya chama cha mapinduzi (CCM) MNEC Salimu Asas akipokea zawadi kutoka kwa viongozi wa UWT manispaa ya Iringa
Mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa ya chama cha mapinduzi (CCM) MNEC Salimu Asas akibadilisha mawazo na mwenyekiti wa UWT manispaa ya Iringa Ashura Jongo pamoja na mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Ritta Kabati.



Hivyo makala MNEC SALIMU ASAS ACHANGIA MAENDELEO YA UWT IRINGA MJINI.

yaani makala yote MNEC SALIMU ASAS ACHANGIA MAENDELEO YA UWT IRINGA MJINI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MNEC SALIMU ASAS ACHANGIA MAENDELEO YA UWT IRINGA MJINI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/mnec-salimu-asas-achangia-maendeleo-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MNEC SALIMU ASAS ACHANGIA MAENDELEO YA UWT IRINGA MJINI."

Post a Comment