MEYA MWITA APELEKA MAJI SAFI NA SALAMA PUGU, WANANCHI WAMPONGEZA

MEYA MWITA APELEKA MAJI SAFI NA SALAMA PUGU, WANANCHI WAMPONGEZA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MEYA MWITA APELEKA MAJI SAFI NA SALAMA PUGU, WANANCHI WAMPONGEZA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MEYA MWITA APELEKA MAJI SAFI NA SALAMA PUGU, WANANCHI WAMPONGEZA
kiungo : MEYA MWITA APELEKA MAJI SAFI NA SALAMA PUGU, WANANCHI WAMPONGEZA

soma pia


MEYA MWITA APELEKA MAJI SAFI NA SALAMA PUGU, WANANCHI WAMPONGEZA

Na Christina Mwagala, Ofisi ya Meya Dar
WANANCHI wa Kata ya Pugu, Mtaa wa Mustafa, wamempongeza Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita kwa kuwapelekea maji safi na salama huku wakibainishiwa ameweka historia ya kutatua changamoto hiyo.

Kata hiyo ambayo inadaiwa kuongoza kwa changamoto ya maji kwa kipindi kirefu, imejenga historia leo kupitia kwa Meya Mwita ambaye amepeleka maji na hivyo wananchi hao kuondokana na adha hiyo iliyodumu kwa kipindi kirefu.

Meya Mwita ameahidi pia kuongeza huduma hiyo kwenye maeneo ambayo yanachangamoto ya maji.

Akizungumza kwa niaba ya wananchi wa Mtaa huo, Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mustafa Bahati Lusizi amemshukuru Meya Mwita kwa juhudi alizozionyesha  hadi kufanikisha kuwapatia huduma hiyo kwani kilikuwa ni kilio cha muda mrefu.

Amesema tangu kuingia kwa uongozi wake umekuwa wa mafanikio makubwa na kwamba waliomba kwa kipindi kifupi kupatiwa maji huduma hiyo na hivyo wameweza kutekelezewa kwa wakati walioahidiwa.

Amefafanua kwa sasa wananchi wa eneo hilo wanapata maji safi na salama, nakuomba kufikishiwa kwa huduma hiyo maeneo mengine yenye changamoto hizo.

“ Kwaniaba ya wananchi wa mtaa huu, tunakupongeza Meya umefanya kazi kubwa, eneo hili linachangamoto ya maji, lakini kwa sasa itakuwa historia ,kwenye huu utawala wako tutakukumbuka kwa kutuondolea kero hii” amesema Lusizi.
Meya wa jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita (mwenyesuti nyeusi) akitoa maelekezo kwa Diwani wa Kata ya Pugu Bonivesture Mphuru na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mustafa Bahati Lusizi leo alipotembelea kukagua mradi wa maji kwenye kata hiyo, ambapo kwa sasa wananchi hao wameanza kupata maji safi na Salama.
 Meya wa jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita akimtwisha Mwananchi ndoo ya maji leo, wanao shuhudia tukio hilo ni Madiwani wa Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam.
Meya wa jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita (Mwenye suti nyeusi) akiwa na madiwani wa halmashauri ya jiji  leo walipotembelea kukagua mradi wa ujenzi wa barabara wa kilomita 0.7 kuingia katika Dampo la Pugu Kinyamwezi ambapo inajengwa kwa kiwango cha zege.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala MEYA MWITA APELEKA MAJI SAFI NA SALAMA PUGU, WANANCHI WAMPONGEZA

yaani makala yote MEYA MWITA APELEKA MAJI SAFI NA SALAMA PUGU, WANANCHI WAMPONGEZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MEYA MWITA APELEKA MAJI SAFI NA SALAMA PUGU, WANANCHI WAMPONGEZA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/meya-mwita-apeleka-maji-safi-na-salama.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MEYA MWITA APELEKA MAJI SAFI NA SALAMA PUGU, WANANCHI WAMPONGEZA"

Post a Comment