Matukio :Viongozi Mkoa wa Iringa hamasisheni wananchi kutunza historia ya Ukombozi wa Bara la Afrika – Mwakyembe

Matukio :Viongozi Mkoa wa Iringa hamasisheni wananchi kutunza historia ya Ukombozi wa Bara la Afrika – Mwakyembe - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio :Viongozi Mkoa wa Iringa hamasisheni wananchi kutunza historia ya Ukombozi wa Bara la Afrika – Mwakyembe, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matukio :Viongozi Mkoa wa Iringa hamasisheni wananchi kutunza historia ya Ukombozi wa Bara la Afrika – Mwakyembe
kiungo : Matukio :Viongozi Mkoa wa Iringa hamasisheni wananchi kutunza historia ya Ukombozi wa Bara la Afrika – Mwakyembe

soma pia


Matukio :Viongozi Mkoa wa Iringa hamasisheni wananchi kutunza historia ya Ukombozi wa Bara la Afrika – Mwakyembe






Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Amina Masenza (katikati) akizungumza na waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe (kulia) alipofanya ziara katika mkoa wa Iringa kukagua maeneo yaliyotumika kama kambi za wanaharakati wa Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika jana Mkoani Iringa. Kushoto ni Katibu Tawala Mkoa wa Iringa Bibi. Wamoja Ayubu


Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe (kulia) akifafanua jambo wakati wa ziara yake katika mkoa wa Iringa kukagua maeneo yaliyotumika kama kambi za wanaharakati wa Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika jana Mkoani Iringa. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Amina Masenza na kushoto ni Katibu Tawala Mkoa wa Iringa Bibi. Wamoja Ayubu


Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe (kushoto) akisalimiana na askari magereza wa gereza la Mgagao lililopo katika wilaya ya Kilolo mkoani Iringa alipotembelea gereza hilo jana kama moja ya kambi iliyotumiwa na wapigania uhuru kutoka Afrika ya Kusini wakati wa ziara yake katika mkoa wa Iringa kukagua maeneo yaliyotumika kama kambi za wanaharakati wa Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Kilolo Mhe. Asia Abdala


Kikundi cha ngoma kikitumbuiza nyimbo za kihehe wakati wa ziara ya Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe katika mkoa wa Iringa kukagua maeneo yaliyotumika kama kambi za wanaharakati wa Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika jana Mkoani Iringa.


Vijana walio na mchanganyiko wa kitanzania na Kizulu wakiimba wimbo wa taifa wa Afrika ya Kusini wakati wa ziara ya Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe katika mkoa wa Iringa kukagua maeneo yaliyotumika kama kambi za wanaharakati wa Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika jana Mkoani Iringa.


Mkuu wa Wilaya ya Kilolo Mhe. Asia Abdala (aliyesimama) akizungumza na wananchi wa wilaya ya Kilolo wakati wa ziara ya Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe (kulia) katika mkoa wa Iringa kukagua maeneo yaliyotumika kama kambi za wanaharakati wa Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika jana Mkoani Iringa.


Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe (aliyesimama) akizungumza na wananchi wa Lugalo alipotembelea mnara wa Lugalo walipozikwa Askari 300 wa kijerumani pamoja na kiongozi wao wakati wa ziara yake katika mkoa wa Iringa kukagua maeneo yaliyotumika kama kambi za wanaharakati wa Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika jana Mkoani Iringa. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Kilolo Mhe. Asia Abdala


Baadhi wa wananchi wa Kilolo wakimsikiliza Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) wakati wa ziara yake katika mkoa wa Iringa kukagua maeneo yaliyotumika kama kambi za wanaharakati wa Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika jana Mkoani Iringa.


Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe (aliyeshika mkuki) katika picha ya pamoja na wananchi wa Lugalo alipotembelea Mnara wa Lugalo walipozikwa Askari 300 wa kijerumani pamoja na kiongozi wao wakati wa ziara yake katika mkoa wa Iringa kukagua maeneo yaliyotumika kama kambi za wanaharakati wa Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika jana Mkoani Iringa. Kushoto kwa waziri ni Mkuu wa Wilaya ya Kilolo Mhe. Asia Abdala Picha na: Genofeva Matemu - WHUSM


Hivyo makala Matukio :Viongozi Mkoa wa Iringa hamasisheni wananchi kutunza historia ya Ukombozi wa Bara la Afrika – Mwakyembe

yaani makala yote Matukio :Viongozi Mkoa wa Iringa hamasisheni wananchi kutunza historia ya Ukombozi wa Bara la Afrika – Mwakyembe Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matukio :Viongozi Mkoa wa Iringa hamasisheni wananchi kutunza historia ya Ukombozi wa Bara la Afrika – Mwakyembe mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/matukio-viongozi-mkoa-wa-iringa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Matukio :Viongozi Mkoa wa Iringa hamasisheni wananchi kutunza historia ya Ukombozi wa Bara la Afrika – Mwakyembe"

Post a Comment