MARUFUKU MADAKTARI KUJAZA FOMU ZA UCHUNGUZI AFYA BILA KUPIMA WANAFUNZI TB-UMMY MWALIMU

MARUFUKU MADAKTARI KUJAZA FOMU ZA UCHUNGUZI AFYA BILA KUPIMA WANAFUNZI TB-UMMY MWALIMU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MARUFUKU MADAKTARI KUJAZA FOMU ZA UCHUNGUZI AFYA BILA KUPIMA WANAFUNZI TB-UMMY MWALIMU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MARUFUKU MADAKTARI KUJAZA FOMU ZA UCHUNGUZI AFYA BILA KUPIMA WANAFUNZI TB-UMMY MWALIMU
kiungo : MARUFUKU MADAKTARI KUJAZA FOMU ZA UCHUNGUZI AFYA BILA KUPIMA WANAFUNZI TB-UMMY MWALIMU

soma pia


MARUFUKU MADAKTARI KUJAZA FOMU ZA UCHUNGUZI AFYA BILA KUPIMA WANAFUNZI TB-UMMY MWALIMU

Na Ripota Wetu, Globu ya jamii
WAZIRI wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amesema ni marufuku kwa madaktari kujaza fomu za uchunguzi wa afya bila kupima wanafunzi husika iwapo ana ugonjwa wa Kifua Kikuu(TB) au laa kwani kufanya hivyo ni kuliangamiza kwa makusudi Taifa kwa uzembe ambao hauwezi kuvumilika.

Pia amesema Serikali inatambua umuhimu wa ushirikishwaji wa jamii katika mapambano ya kutokomeza TB na huku akieleza mpaka sasa takribani watoa huduma 1530 kati ya 5000 katika ngazi ya jamii ambao wamepata mafunzo ya muda mfupi ya Kifua Kikuu na hivyo wanaweza kuwabaini wagonjwa wa TB na kuwafuatilia watoto wanaopata matibabu katika maeneo yao.

Waziri Mwalimu ametoa kauli hiyo leo kwenye tamko lake   kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya TB duniani ambayo hufanyika Machi 24 ya kila mwaka ambapo amefafanua TB ni ugonjwa wa kuambukiza ambao unaoongoza kwa kusababisha vifo vingi duniani.

Hivyo amasema ili kukabiliana na ugonjwa huo pamoja na hatua mbalimbali zinazochukuliwa amewaagiza waganga wafawidhi wote wa hospitali na vituo vya huduma kuhakikisha watoto wote wanaoanza shule za bweni wanafanyiwa uchunguzi wa TB kikamilifu kabla ya kuanza masomo.

 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu (MB) akisisitiza jambo mbele ya Waandishi wa Habari (Hawapo kwenye Picha), wakati wa Maazimisho ya siku ya Kifua Kikuu Duniani, tukio limefanyika mapema leo katika ukumbi wa Habari Maelezo jijini Dodoma.
Baadhiya  Waandishi wa Habari wakifuatilia kwa ukaribu tamko la Kifua Kikuu (TB) lililokuwa linatolewa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu (MB) katika ukumbi wa Habari Maelezo jijini Dodoma mapema leo.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA



Hivyo makala MARUFUKU MADAKTARI KUJAZA FOMU ZA UCHUNGUZI AFYA BILA KUPIMA WANAFUNZI TB-UMMY MWALIMU

yaani makala yote MARUFUKU MADAKTARI KUJAZA FOMU ZA UCHUNGUZI AFYA BILA KUPIMA WANAFUNZI TB-UMMY MWALIMU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MARUFUKU MADAKTARI KUJAZA FOMU ZA UCHUNGUZI AFYA BILA KUPIMA WANAFUNZI TB-UMMY MWALIMU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/marufuku-madaktari-kujaza-fomu-za.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MARUFUKU MADAKTARI KUJAZA FOMU ZA UCHUNGUZI AFYA BILA KUPIMA WANAFUNZI TB-UMMY MWALIMU"

Post a Comment