title : MALIKIA WA NYIMBO ZA INJILI ROSE MUHANDO ATHIBITISHA KUZINDUA ALBAMU YAKE MPYA TAMASHA LA PASAKA KANDA YA ZIWA
kiungo : MALIKIA WA NYIMBO ZA INJILI ROSE MUHANDO ATHIBITISHA KUZINDUA ALBAMU YAKE MPYA TAMASHA LA PASAKA KANDA YA ZIWA
MALIKIA WA NYIMBO ZA INJILI ROSE MUHANDO ATHIBITISHA KUZINDUA ALBAMU YAKE MPYA TAMASHA LA PASAKA KANDA YA ZIWA
Malkia wa nyimbo za Injili hapa nchini,Rose Muhando ametihitisha kushiriki tamasha la Pasaka linalotarajiwa kufanyika ndani ya uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Aprili 1 na Aprili 2 kwenye uwanja wa Halmashauri mjini Bariadi Mkoani Simiyu.
Akizungumza hivi karibuni wakati wa maandalizi yake,Rose Muhando amesema yuko tayari kwa kazi ya kuburudisha katika tamasha hilo ambapo pia atazindua albam yake yenye jumla ya nyimbo saba,itakayojulikana kwa kwa jina la “Usivunjike Moyo” .
Katika Tamasha hilo Kiingilio kimepangwa kuwa, watu wazima ni shilingi Elfu 5000 na watoto itakuwa ni shilingi 2000 na Kiingilio katika tamasha la Pasaka mkoani Simiyu watu wazima itakuwa ni shilingi 3000 na watoto ni shilingi 2000.
Hivyo makala MALIKIA WA NYIMBO ZA INJILI ROSE MUHANDO ATHIBITISHA KUZINDUA ALBAMU YAKE MPYA TAMASHA LA PASAKA KANDA YA ZIWA
yaani makala yote MALIKIA WA NYIMBO ZA INJILI ROSE MUHANDO ATHIBITISHA KUZINDUA ALBAMU YAKE MPYA TAMASHA LA PASAKA KANDA YA ZIWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MALIKIA WA NYIMBO ZA INJILI ROSE MUHANDO ATHIBITISHA KUZINDUA ALBAMU YAKE MPYA TAMASHA LA PASAKA KANDA YA ZIWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/malikia-wa-nyimbo-za-injili-rose.html
0 Response to "MALIKIA WA NYIMBO ZA INJILI ROSE MUHANDO ATHIBITISHA KUZINDUA ALBAMU YAKE MPYA TAMASHA LA PASAKA KANDA YA ZIWA"
Post a Comment