title : Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu, Afungua Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Shimmuta Mjini Dodoma.
kiungo : Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu, Afungua Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Shimmuta Mjini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu, Afungua Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Shimmuta Mjini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma na Makampuni Binafsi Tanzania (SHIMMUTA) uliofanyika Chuo Kikuu Dodoma (UDOM).

Wajumbe wakifuatilia kwa makini hotuba ya Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma na Makampuni Binafsi Tanzania (SHIMMUTA) uliofanyika Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) Machi 27, 2018 mjini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Hivyo makala Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu, Afungua Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Shimmuta Mjini Dodoma.
yaani makala yote Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu, Afungua Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Shimmuta Mjini Dodoma. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu, Afungua Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Shimmuta Mjini Dodoma. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/makamu-wa-rais-wa-tanzania-mhe-samia.html
0 Response to "Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu, Afungua Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Shimmuta Mjini Dodoma."
Post a Comment