title : Makamu wa Rais awasili Pemba kwa ziara ya siku tatu
kiungo : Makamu wa Rais awasili Pemba kwa ziara ya siku tatu
Makamu wa Rais awasili Pemba kwa ziara ya siku tatu
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Karume,Pemba. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Karume,Pemba. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mshauri wa Rais wa Zanzibar Pemba Dkt. Maua Daftari mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Karume,Pemba. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
Hivyo makala Makamu wa Rais awasili Pemba kwa ziara ya siku tatu
yaani makala yote Makamu wa Rais awasili Pemba kwa ziara ya siku tatu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Makamu wa Rais awasili Pemba kwa ziara ya siku tatu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/makamu-wa-rais-awasili-pemba-kwa-ziara.html

0 Response to "Makamu wa Rais awasili Pemba kwa ziara ya siku tatu"
Post a Comment