MABWENI MAWILI SEKONDARI YA WASICHANA KOROGWE YATEKETEA KWA MOTO

MABWENI MAWILI SEKONDARI YA WASICHANA KOROGWE YATEKETEA KWA MOTO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MABWENI MAWILI SEKONDARI YA WASICHANA KOROGWE YATEKETEA KWA MOTO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MABWENI MAWILI SEKONDARI YA WASICHANA KOROGWE YATEKETEA KWA MOTO
kiungo : MABWENI MAWILI SEKONDARI YA WASICHANA KOROGWE YATEKETEA KWA MOTO

soma pia


MABWENI MAWILI SEKONDARI YA WASICHANA KOROGWE YATEKETEA KWA MOTO

Na Ripota Wetu, Globu ya Jamii

MABWENI mawili katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Korogwe yameteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo.

Moto huo ulianza kuunguza mabweni hayo saa tatu usiku na chanzo chake hakijajulikana.Hata hivyo inadaiwa huenda chanzo kikawa ni umeme ingawa bado wanaendelea kufanya uchunguzi wa moto huo.

Akizungumza leo, kwa njia ya simu na Michuzi Blogu, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga ,Edward Bukombe amesema atatoa taarifa rasmi na kwa sasa yupo eneo la tukio hilo."Nipo eneo la tukio na baada ya hapo nitakupa taarifa rasmi." 
Baadhi ya wanafunzi wote waliopatwa na mshituko wa tukio hilo wakipatiwa huduma ya kwanza mara baada kukimbizwa katika Hospitali ya Wilaya, ambapo inaelezwa walikuwa wanafunzi zaidi ya 15 waliopelekwa katika hospitali hiyo. 




Hivyo makala MABWENI MAWILI SEKONDARI YA WASICHANA KOROGWE YATEKETEA KWA MOTO

yaani makala yote MABWENI MAWILI SEKONDARI YA WASICHANA KOROGWE YATEKETEA KWA MOTO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MABWENI MAWILI SEKONDARI YA WASICHANA KOROGWE YATEKETEA KWA MOTO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/mabweni-mawili-sekondari-ya-wasichana.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MABWENI MAWILI SEKONDARI YA WASICHANA KOROGWE YATEKETEA KWA MOTO"

Post a Comment