MAANDALIZI YA TAMASHA LA PASAKA 2018 YAZIDI KUNOGA,WAIMBAJI WAENDELEA KUTAMBULISHWA

MAANDALIZI YA TAMASHA LA PASAKA 2018 YAZIDI KUNOGA,WAIMBAJI WAENDELEA KUTAMBULISHWA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAANDALIZI YA TAMASHA LA PASAKA 2018 YAZIDI KUNOGA,WAIMBAJI WAENDELEA KUTAMBULISHWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAANDALIZI YA TAMASHA LA PASAKA 2018 YAZIDI KUNOGA,WAIMBAJI WAENDELEA KUTAMBULISHWA
kiungo : MAANDALIZI YA TAMASHA LA PASAKA 2018 YAZIDI KUNOGA,WAIMBAJI WAENDELEA KUTAMBULISHWA

soma pia


MAANDALIZI YA TAMASHA LA PASAKA 2018 YAZIDI KUNOGA,WAIMBAJI WAENDELEA KUTAMBULISHWA

Masako amesema kuwa wakati umefika kwa wakazi wa Kanda ya Ziwa kujipatia burudani ya muziki wa njili kutoka kwa waimbaji mbali mbali ambao mpaka sasa wamethibitisha kushiriki kwao.

Maandalizi ya Tamasha la Pasaka 2018 yameendelea kunoga huku waimbaji mbali mbali wakiendelea kutambulishwa.Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na mmoja wa waratibu wa tamasha hilo, RainFred Masako wakati akimtambulisha mwimbaji wa nyimbo za injili Martha Baraka.

Masako amesema kuwa wakati umefika kwa wakazi wa Kanda ya Ziwa kujipatia burudani ya muziki wa njili kutoka kwa waimbaji mbali mbali ambao mpaka sasa wamethibitisha kushiriki kwao.

Kwa upande wake mwimbaji wa Nyimbo za Injili, Martha Baraka amesema kuwa yupo tayari kuwapa burudani wakazi wa Mwanza na vitongoji vyake kwa vile amejiandaa vyema."Tunaomba wakazi wa Kanda ya Ziwa mjitokeze kwa wingi kuhudhuria Tamasha hilo ambalo nitaungana na waimbaji wenzangu kutoa burudani ya kukata na shoka," amesema Martha Baraka.

Tamasha hili linatarajiwa kufanyika Aprili 1-2, 2018 kwenye uwanja wa CCM Kirumba na Uwanja wa Halmashauri mkoani Simiyu,ambapo Mwimbaji nyota wa nyimbo za Injili Rose Muhando atazindua albamu yake mpya.

Waimbaji ambao mpaka sasa wamethibitisha kushiriki ni Christopher Mwahangila, Jessica BM Honore. Wengini ni Solomoni Mukubwwa, Danny M- Kenya na Ephraim Sekeleti.

 Mmoja wa waimbaji mahiri wa nyimbo za injili Martha Baraka akieleza namna alivyojiandaa katika tamasha la pasaka 2018,mapema leo mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani).Kushoto ni Meneja wa Msama Promotions Ltd,Jimmy Charles
Mmoja wa waratibu wa tamasha la Pasaka 2018, RainFred Masako akimkaribisha na kumtambulisha mmoja wa waimbaji mahiri wa nyimbo za injili Martha Baraka mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo jijini Dar


Hivyo makala MAANDALIZI YA TAMASHA LA PASAKA 2018 YAZIDI KUNOGA,WAIMBAJI WAENDELEA KUTAMBULISHWA

yaani makala yote MAANDALIZI YA TAMASHA LA PASAKA 2018 YAZIDI KUNOGA,WAIMBAJI WAENDELEA KUTAMBULISHWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAANDALIZI YA TAMASHA LA PASAKA 2018 YAZIDI KUNOGA,WAIMBAJI WAENDELEA KUTAMBULISHWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/maandalizi-ya-tamasha-la-pasaka-2018.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAANDALIZI YA TAMASHA LA PASAKA 2018 YAZIDI KUNOGA,WAIMBAJI WAENDELEA KUTAMBULISHWA"

Post a Comment