title : KINARA WA UDHALILISHAJI WANAWAKE MKOANI MOROGORO AKAMATWA.
kiungo : KINARA WA UDHALILISHAJI WANAWAKE MKOANI MOROGORO AKAMATWA.
KINARA WA UDHALILISHAJI WANAWAKE MKOANI MOROGORO AKAMATWA.
Na John Nditi, Morogoro
POLISI mkoani Morogoro imefanikiwa kumnasa mtuhumiwa sugu ajulikanaye kwa jina la Mabula Mabula ( 28), maarufu ‘SIX ‘ mkazi wa Kata ya Mji Mpya , ,Manispaa ya Morogoro , ambaye anajihusisha na matukio ya kubora simu kwa njia ya pikipiki , kubaka wanawake , kuwapora mali zao kisha kuwabaka na kuwapiga picha za utupu .
Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Morogoro, Ulrich Matei alisema hayo kwa waandishi wa habari kuhusu mkakati wa Jeshi la Polisi mkoani humo kudhibiti matukio ya uharifu na uharifu.
Alisema , kufuatia matukio kadhaa ya ukatili wa aina hiyo yaliyolipotiwa Kituo kikuu cha Polisi ndipo timu ya makachero ikiongozwa na wataalamu wa Cyber – Crime pamoja na kikosi cha kupambana na ujambazi walifuatilia suala hilo kicha kufanikisha ukamataji huo.
“ Matukio matano ya wanawake kufanyiwa vitendo vya ukatili yameripitiwa kituo kikuu cha Polisi na wahusika wameshindwa kumtambua mihusika na baada ya kumkamata inaimani watu wanajitokeza “ alisema Matei.
Hata hivyo alisema , baada ya kumhoji mtuhumiwa huyo alieleza mbinu anazotumia kwamba hijifanya yenye ni akari Polisi ambapo huwakamata wanawake nyakati za usiku na kuwasingizia makosa mbalimbali kasha kuwapeleka mafichoni kwenye kiza kinene maneo ya Tumbaku – Pepsi kuwatishia silaha panga , kupora mali walizonazo na kuwafanyia ukatili wa kuwalawiti na kuwapinga picha za utupu.
Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Morogoro, Ulrich Matei (kulia) akitoa maalezo ya mtuhumiwa sugu ajulikanaye kwa jina la Mabula Mabula ( 28), maarufu ‘SIX ‘ ( wapili kushoto fulana nyeusi ) mkazi wa Kata ya Mji Mpya , Manispaa ya Morogoro , ambaye anajihusisha na matukio ya kubora simu kwa njia ya pikipiki , kubaka wanawake , kuwapora mali zao kasha kuwabaka na kuwapiga picha za utupu , mwingine na ( kwanza kushoto) ni mtuhumiwa wa ununuzi wa simu za wizi, Ramadhan Salumu A.K.A Miondoko.
Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Morogoro, Ulrich Matei (kulia) akitoa maalezo ya mtuhumiwa sugu ajulikanaye kwa jina la Mabula Mabula ( 28), maarufu ‘SIX ‘ ( kati kati fulana nyeusi ) mkazi wa Kata ya Mji Mpya , ,Manispaa ya Morogoro , ambaye anajihusisha na matukio ya kubora simu kwa njia ya pikipiki , kubaka wanawake , kuwapora mali zao kasha kuwabaka na kuwapiga picha za utupu .
Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Morogoro, Ulrich Matei (kulia) akitoa maalezo kwa waandishi wa habari ( hawapo pichani) juu ya watuhumiwa watatu waliopo kushoto wa wizi wa mitandao waliokamatwa na simu tisa aina mbalimbali pamoja na laini 57 za mitandano mbalimbali ikiwa na kurasa sita za kitabu cha kumbukumbu kwa wakala (Log Book ) za mtandao wa Vodacom ambazo zina namba za siku za wateja. ( Picha zote na John Nditi).
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala KINARA WA UDHALILISHAJI WANAWAKE MKOANI MOROGORO AKAMATWA.
yaani makala yote KINARA WA UDHALILISHAJI WANAWAKE MKOANI MOROGORO AKAMATWA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KINARA WA UDHALILISHAJI WANAWAKE MKOANI MOROGORO AKAMATWA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/kinara-wa-udhalilishaji-wanawake-mkoani.html
0 Response to "KINARA WA UDHALILISHAJI WANAWAKE MKOANI MOROGORO AKAMATWA."
Post a Comment