KAMPUNI ZA BIMA ZATAKIWA KUWAHUDUMIA WANANCHI KWA UWAZI

KAMPUNI ZA BIMA ZATAKIWA KUWAHUDUMIA WANANCHI KWA UWAZI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMPUNI ZA BIMA ZATAKIWA KUWAHUDUMIA WANANCHI KWA UWAZI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMPUNI ZA BIMA ZATAKIWA KUWAHUDUMIA WANANCHI KWA UWAZI
kiungo : KAMPUNI ZA BIMA ZATAKIWA KUWAHUDUMIA WANANCHI KWA UWAZI

soma pia


KAMPUNI ZA BIMA ZATAKIWA KUWAHUDUMIA WANANCHI KWA UWAZI

Na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.
Kampuni za bima nchini zimeshauriwa kuwahudua wananchi kwa uwazi na kutoa huduma za kiwango cha juu ili kuweza kuleta maendeleo ya kiuchumi.

Hayo aliyasema Mkurugenzi wa Usimamizi na Ukaguzi wa Soko wa Mamlaka ya Udhibiti wa Bima nchini (TIRA), Elia Kajiba wakati mkutano wa wadau bima ulioandaliwa African Insurance Digital Banking uliofanyika jijini Dar es Salaam, amesema kuwa bima imeanzishwa kwa ajili ya kulinda biashara na mali hivyo wananchi wanatakiwa kuhudumiwa katika kulinda biashara na mali zao huku wakitoa elimu kwa uwazi.

Aliongeza kuwa mtu mwenye bima katika biashara au mali likitokea janga haiwezi kuwa sifuri kutokana na kukata bima kwa ajili ya biashara na mali hizo.

"Kampuni za Bima ili ziweze kufanya kazi ni lazima zisajiliwe katika kuweza kutoa huduma kwa wananchi," alisema.

Alisema kuwa katika kuelekea uchumi wa viwanda sekta ya bima zina mchango mkubwa katika kuwahudumia wananchi.

Nae Mwenyekiti wa African Digital Banking Summit, Baraka Mtavangu alisema kuwa wameandaa mkutano katika kuweza kuwakutanisha wadau ikiwa ni kujenga mtandao katika kutoa huduma na elimu ya bima kwa wananchi.
Mkurugenzi wa Usimamizi na Ukaguzi wa Soko kutoka TIRA Bw. Elia Kajiba akiongea na waandishi wa habari katika ufunguzi wa mkutano wa Bima uliofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam. Picha zote na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.
Mwenyekiti wa African Digital Banking Summit, Baraka Mtavangu alisema kuwa wameandaa mkutano katika kuweza kuwakutanisha wadau ikiwa ni kujenga mtandao katika kutoa huduma na elimu ya bima kwa wananchi.
Mkurugenzi wa Usimamizi na Ukaguzi wa Soko kutoka TIRA Bw. Elia Kajiba akitembelea mabanda kujionea huduma zinazotolewa na makampuni ya bima yaliyohudhuria maonyesho hayo.
Mkurugenzi wa Usimamizi na Ukaguzi wa Soko kutoka TIRA Bw. Elia Kajiba akitembelea mabanda kujionea huduma zinazotolewa na makampuni ya bima yaliyohudhuria maonyesho hayo.
Mkurugenzi wa Usimamizi na Ukaguzi wa Soko kutoka TIRA Bw. Elia Kajiba akitembelea mabanda kujionea huduma zinazotolewa na makampuni ya bima yaliyohudhuria maonyesho hayo. 




Hivyo makala KAMPUNI ZA BIMA ZATAKIWA KUWAHUDUMIA WANANCHI KWA UWAZI

yaani makala yote KAMPUNI ZA BIMA ZATAKIWA KUWAHUDUMIA WANANCHI KWA UWAZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMPUNI ZA BIMA ZATAKIWA KUWAHUDUMIA WANANCHI KWA UWAZI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/kampuni-za-bima-zatakiwa-kuwahudumia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAMPUNI ZA BIMA ZATAKIWA KUWAHUDUMIA WANANCHI KWA UWAZI"

Post a Comment