title : KAMPUNI YA D AND G EXPORT LTD YATOA MSAADA WA BAISKELI NA TANI 3 ZA SARUJI RUVUMA
kiungo : KAMPUNI YA D AND G EXPORT LTD YATOA MSAADA WA BAISKELI NA TANI 3 ZA SARUJI RUVUMA
KAMPUNI YA D AND G EXPORT LTD YATOA MSAADA WA BAISKELI NA TANI 3 ZA SARUJI RUVUMA

Mama wa Mtoto Shaibu Alifa akiwa anampeleka mwanae Shule, ambaye anasoma shule ya msingi Mchangani iliyopo wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma. Kampuni ya D and G Export Ltd inayofanya kazi ya kununua korosho katika wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma imemsaidia baiskeli ya Miguu minne (wheelchair mpya) mtoto Shaibu Alifa mwenye ulemavu wa miguu pamoja tani 3 za saruji kwa ajili ya kukarabati vyoo shuleni ya Mchangani, ujenzi wa zahanati ya Chikomo na kuboresha jengo la tarafa
Hivyo makala KAMPUNI YA D AND G EXPORT LTD YATOA MSAADA WA BAISKELI NA TANI 3 ZA SARUJI RUVUMA
yaani makala yote KAMPUNI YA D AND G EXPORT LTD YATOA MSAADA WA BAISKELI NA TANI 3 ZA SARUJI RUVUMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMPUNI YA D AND G EXPORT LTD YATOA MSAADA WA BAISKELI NA TANI 3 ZA SARUJI RUVUMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/kampuni-ya-d-and-g-export-ltd-yatoa.html
0 Response to "KAMPUNI YA D AND G EXPORT LTD YATOA MSAADA WA BAISKELI NA TANI 3 ZA SARUJI RUVUMA"
Post a Comment