title : KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YAENDELEA NA VIKAO VYAKE MJINI DODOMA
kiungo : KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YAENDELEA NA VIKAO VYAKE MJINI DODOMA
KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YAENDELEA NA VIKAO VYAKE MJINI DODOMA
Mjumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti, Mhe. Albert Ntabaliba akizungumza wakati wa kupitia na kujadili Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa fedha 2018/2019 katika kikao kilichofanyika leo ukumbi wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti, Mhe. Hawa Ghasia akizungumza na Wajumbe wa kamati hiyo pamoja na viongozi wakuu kutoka Wizara ya fedha na Mipango walioongozwa na Waziri wa fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango wakati wa kupitia na kujadili Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa fedha 2018/2019, katika kikao kilichofanyika leo ukumbi wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti, Mhe. Hawa Ghasia akizungumza na Wajumbe wa kamati hiyo pamoja na viongozi wakuu kutoka Wizara ya fedha na Mipango (hawapo kwenye picha) wakati wa kupitia na kujadili Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa fedha 2018/2019. Kushoto ni Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango katika kikao kilichofanyika leo ukumbi wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.
Mjumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti, Mhe. Maria kangoye akizungumza wakati wa kupitia na kujadili Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa fedha 2018/2019 katika kikao kilichofanyika leo ukumbi wa Pius Msekwa Mjini Dodoma. kushoto ni Mjumbe wa kamati hiyo Mhe. Riziki Lulidi
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Hivyo makala KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YAENDELEA NA VIKAO VYAKE MJINI DODOMA
yaani makala yote KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YAENDELEA NA VIKAO VYAKE MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YAENDELEA NA VIKAO VYAKE MJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/kamati-ya-bunge-ya-bajeti-yaendelea-na.html
0 Response to "KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YAENDELEA NA VIKAO VYAKE MJINI DODOMA"
Post a Comment