title : IGP AWATUNUKU STASHAHADA NA ASTASHAHADA ASKARI POLISI
kiungo : IGP AWATUNUKU STASHAHADA NA ASTASHAHADA ASKARI POLISI
IGP AWATUNUKU STASHAHADA NA ASTASHAHADA ASKARI POLISI
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP, Simon Sirro akiwasili katika viwanja vya Mahafali ya kiwatunuku Askari Polisi waliohitimu astashahada na stashahada za Sayansi ya Polisi na Upelelezi kutoka vyuo vya Polisi. Sherehe zilifanyika katika chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP, Simon Sirro akitoa hotuba katika Mahafali ya kuwatunuku Askari Polisi waliohitimu astashahada na stashahada za Sayansi ya Polisi na Upelelezi kutoka vyuo vya Polisi. Sherehe zilifanyika katika chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam. Picha na Jeshi la Polisi.
Baadhi ya wahitimu waliohitimu astashahada na stashahada za Sayansi ya Polisi na Upelelezi kutoka vyuo vya Polisi wakiwa kwenye Sherehe zilifanyika katika chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam
Hivyo makala IGP AWATUNUKU STASHAHADA NA ASTASHAHADA ASKARI POLISI
yaani makala yote IGP AWATUNUKU STASHAHADA NA ASTASHAHADA ASKARI POLISI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala IGP AWATUNUKU STASHAHADA NA ASTASHAHADA ASKARI POLISI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/igp-awatunuku-stashahada-na-astashahada.html
0 Response to "IGP AWATUNUKU STASHAHADA NA ASTASHAHADA ASKARI POLISI"
Post a Comment