title : HIVI NDIVYO WIZARA ZA NISHATI, MADINI ZILIVYOSHIRIKI SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
kiungo : HIVI NDIVYO WIZARA ZA NISHATI, MADINI ZILIVYOSHIRIKI SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
HIVI NDIVYO WIZARA ZA NISHATI, MADINI ZILIVYOSHIRIKI SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Wafanyakazi wa Wizara za Nishati na Madini walioko Makao Makuu mjini Dodoma, leo Machi 8 wameshiriki maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.
Sherehe za Maadhimisho hayo zimefanyika ki-Mkoa katika Eneo la Msalato na kushirikisha Wizara na Taasisi mbalimbali za Serikali, Mashirika Binafsi na baadhi ya wanafunzi wa Shule mbalimbali.
Kaulimbiu ya Maadhimisho ya Sherehe hiyo Kitaifa, kwa Mwaka huu ni ‘Kuelekea Uchumi wa Viwanda, Tuimarishe Usawa wa Jinsia na Uwezeshaji wa Wanawake Vijijini’.
Pichani ni matukio mbalimbali wakati wa maadhimisho hayo.
Hivyo makala HIVI NDIVYO WIZARA ZA NISHATI, MADINI ZILIVYOSHIRIKI SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
yaani makala yote HIVI NDIVYO WIZARA ZA NISHATI, MADINI ZILIVYOSHIRIKI SIKU YA WANAWAKE DUNIANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala HIVI NDIVYO WIZARA ZA NISHATI, MADINI ZILIVYOSHIRIKI SIKU YA WANAWAKE DUNIANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/hivi-ndivyo-wizara-za-nishati-madini.html
0 Response to "HIVI NDIVYO WIZARA ZA NISHATI, MADINI ZILIVYOSHIRIKI SIKU YA WANAWAKE DUNIANI"
Post a Comment