DUNIA YAMPOTEZA FARU MWEUPE ALIYESALIA - Hallo rafiki
WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DUNIA YAMPOTEZA FARU MWEUPE ALIYESALIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala biashara,
makala general,
makala hobby,
makala karibuni info,
makala michezo,
makala siasa,
makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
DUNIA YAMPOTEZA FARU MWEUPE ALIYESALIAkiungo :
DUNIA YAMPOTEZA FARU MWEUPE ALIYESALIA
DUNIA YAMPOTEZA FARU MWEUPE ALIYESALIA
Na Leandra Gabriel,Globu ya jamii
FARU dume mweupe maarufu kama Sudan amefariki akiwa na umri wa miaka 45.
Imeelezwa kuwa kifo chake kilisababishwa na matatizo ya kiafya hasa umri wake ambapo ilisababisha kudhoofu.Hadi kifo kinamkuta Sudan alikuwa chini ya ulinzi mkali dhidi wa majangili.
Jumanne wiki iliyopita ilitangazwa kuwa hali ya Sudan sio nzuri na amekuwa chini ya uangalizi maalumu katika hifadhi ya Ol Pejeta nchini Kenya.
Aidha Mwakilishi wa hifadhi ya Ol Pejeta Sampere Elodie amemuelezea Sudan kama Faru jasiri aliyekuwa mlinzi wa wenzake dhidi ya majangili mbugani hapo na aliogopwa kutokana na umbo na muonekano wake.
Aidha imeelezwa baadhi ya jeni (genetics) zake zimeweza kuhifadhiwa na zawezwa kupandikizwa kwa mmoja wa faru aliowaacha (Najin) kupitia seli ili kuweza kupata faru wa aina yake tena.
Faru Sudan ameacha faru jike wawili wa aina yake (mtoto na mjukuu) maarufu kama Najin na Fatu ambaye ni tasa.
Hivyo makala DUNIA YAMPOTEZA FARU MWEUPE ALIYESALIA
yaani makala yote DUNIA YAMPOTEZA FARU MWEUPE ALIYESALIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DUNIA YAMPOTEZA FARU MWEUPE ALIYESALIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/dunia-yampoteza-faru-mweupe-aliyesalia.html
Related Posts :
MAKAMU WA RAIS, MHE.SAMIA KUZINDUA MAKUMBUSHO MAPYA YA OLDUVAI NA ONESHO LA CHIMBUKO LA MWANADAMU TAREHE 03 OKTOBA, 2017 MKOANI ARUSHAMwambawahabari
Waziri wa Maliasili, Prof. Jumanne Maghembe
akizungumza na waandishi wa habari jana mkoani Morogoro kuhusu uzinduzi wa
Ma… Read More...
Uongozi mpya wa TFF watembelea SBLMwambawahabari
Rais wa TFF ,Wallace Karia akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani
alipofanya ziara katika Kampuni ya Bia… Read More...
Matukio : Prof. Maghembe Afungua Mkutano wa Kimataifa wa Nchi 21 Duniani
Waziri wa Maliasili, Prof. Jumanne Maghembe akizungumza mkoani Morogoro jana wakati wa ufunguzi wa mkutano wa pili wa Mashirika yanayohama… Read More...
KIDZ WORLD PARTY ACCESSORIES
We are located at Dar free market mall, 1st floor Oyster Bay, Ally Hassan Mwinyi Road, Dar es salaam near the embassies of Kenya and Fran… Read More...
WATANZANIA WANG’ARA SHINDANO LA MWANDISHI BORA WA SAYANSI NA KILIMO AFRIKA Mwambawahabari
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti ya Uganda na Mjumbe wa Bodi ya ASARECA, Dr. Ambrose Agona (kushoto), akimkabidhi cheti M… Read More...
0 Response to "DUNIA YAMPOTEZA FARU MWEUPE ALIYESALIA"
Post a Comment