title : DR MPOKI AWATAKA WATU KUACHA KUPOTOSHA JUU YA TIBA YA USINGIZI
kiungo : DR MPOKI AWATAKA WATU KUACHA KUPOTOSHA JUU YA TIBA YA USINGIZI
DR MPOKI AWATAKA WATU KUACHA KUPOTOSHA JUU YA TIBA YA USINGIZI
Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii
Katibu Mkuu wa Wizara Afya, Jinsia , Wazee na Watoto Dk . Mpoki Lusubisya amesema taaluma ya tiba ya usingizi ni moja ya kiungo muhimu katika matibabu hasa upasuaji katika hospitali zetu.
Dk Mpoki Amesema hayo jijini Dar es Salaam leo alipokuwa akifungua mafunzo ya siku tano kwa wataalamu wa dawa za usingizi kwa hospitali zote zilizopo ukanda wa pwani.
"Kumekuwa na dhana tofauti juu ya tiba ya usingizi kiasi cha watu kuiita ni nusu kaputi jambo ambalo limekuwa likipotosha na kuogopesha wagonjwa hivyo naomba niwaambie kuwa tiba ya usingizi sio nusu kaputi bali ni dawa ya kuzoofisha mishipa"amesema Dk Mpoki.
Amesema kuwa watu wanatakiwa kuwa waelewa zaidi kuwa tiba ya usingizi ni dawa muhimu sana katika kuhakikisha kuwa tiba za upasuaji zinafanikiwa
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dk Mpoki Ulisubisya akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mafunzo ya siku tano ya awamu ya nne kwa wataalamu wa dawa za usingizi katika hospitali zilizopo katika ukanda wa pwani
Mratibu wa Mafunzo ya Wataalamu wa dawa za Usingizi kutoka Tasisi ya Mifupa (MOI), Karima Khalid akizungumza mara baada ya ufunguzi wa mafunzo ya siku tano kwa wataalamu wa dawa za usingizi
Wataalamu wa Dawa za usingizi wakifatilia kwa makini mafunzo yaliyokuwa yakitolewa na wataalamu wa dawa hizo
Wataalamu wa Dawa za usingizi wakifatilia kwa makini mafunzo yaliyokuwa yakitolewa
Hivyo makala DR MPOKI AWATAKA WATU KUACHA KUPOTOSHA JUU YA TIBA YA USINGIZI
yaani makala yote DR MPOKI AWATAKA WATU KUACHA KUPOTOSHA JUU YA TIBA YA USINGIZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DR MPOKI AWATAKA WATU KUACHA KUPOTOSHA JUU YA TIBA YA USINGIZI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/dr-mpoki-awataka-watu-kuacha-kupotosha.html
0 Response to "DR MPOKI AWATAKA WATU KUACHA KUPOTOSHA JUU YA TIBA YA USINGIZI"
Post a Comment