DK.MWIGULU AWATAKA WANAFUNZI KUACHA KUTENGENEZA TAASWIRA MBAYA KWA SERIKALI

DK.MWIGULU AWATAKA WANAFUNZI KUACHA KUTENGENEZA TAASWIRA MBAYA KWA SERIKALI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DK.MWIGULU AWATAKA WANAFUNZI KUACHA KUTENGENEZA TAASWIRA MBAYA KWA SERIKALI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DK.MWIGULU AWATAKA WANAFUNZI KUACHA KUTENGENEZA TAASWIRA MBAYA KWA SERIKALI
kiungo : DK.MWIGULU AWATAKA WANAFUNZI KUACHA KUTENGENEZA TAASWIRA MBAYA KWA SERIKALI

soma pia


DK.MWIGULU AWATAKA WANAFUNZI KUACHA KUTENGENEZA TAASWIRA MBAYA KWA SERIKALI

Na Ripota Wetu,Globu ya jamii.

WAZIRI wa Mambo ya ndani, Dk.Mwigulu Nchemba amewataka wanafunzi kuachana na harakati za kutengeneza taswira mbaya za Serikali badala yake kuwa na mitazamo chanya.

Dk.Mwigulu ameyasema hayo jana katika kongamano la UNILIFE lililofanyika Chuo cha Biashara (CBE), ambalo liliandaliwa na Mbunge wa Viti maalum, Ester Mmasi.
Amesema wanafunzi hawatakiwi kufanya harakati ili wawe adui wa Serikali kwani yenyewe haina muda wa kushughulikia mashinikizo ya wanafunzi.

"Nilishawahi kufanya harakati nikiwa chuoni na nilipewa jina la Chifu..majina yangu yamekuja kujulikana nikiwa serikalini lakini nilikuwa napinga baadhi ya ajenda za Taifa ambazo niliona hazina manufaa," amesema Dk. Mwigulu.

Amesisitiza wanafunzi wengi kwa sasa wamekuwa wakiitafuta taswira mbaya ya Serikali bila kuangalia masuala mengine yanayopaswa kuungwa mkono.

"Kuwa kijana mwema chuoni sio kwa kuwa kimya bali kuwa na mitazamo chanya na ukiona mwanazuoni anabisha jambo jema ujue kuna kasoro," amesema.


Hivyo makala DK.MWIGULU AWATAKA WANAFUNZI KUACHA KUTENGENEZA TAASWIRA MBAYA KWA SERIKALI

yaani makala yote DK.MWIGULU AWATAKA WANAFUNZI KUACHA KUTENGENEZA TAASWIRA MBAYA KWA SERIKALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DK.MWIGULU AWATAKA WANAFUNZI KUACHA KUTENGENEZA TAASWIRA MBAYA KWA SERIKALI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/dkmwigulu-awataka-wanafunzi-kuacha.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DK.MWIGULU AWATAKA WANAFUNZI KUACHA KUTENGENEZA TAASWIRA MBAYA KWA SERIKALI"

Post a Comment