title : DK. SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI, MAKATIBU WAKUU NA NAIBU KATIBU WAKUU ZANZIBAR
kiungo : DK. SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI, MAKATIBU WAKUU NA NAIBU KATIBU WAKUU ZANZIBAR
DK. SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI, MAKATIBU WAKUU NA NAIBU KATIBU WAKUU ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Joseph Abdalla Meza kuwa Kamishna wa Bodi ya Mapato ya Zanzibar (ZRB) wakati wa hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw. Ali Khalil Mirza kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Juma Ali Juma kuwa Katibu Mkuu katika Wizara ya Biashara na Viwanda katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Hivyo makala DK. SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI, MAKATIBU WAKUU NA NAIBU KATIBU WAKUU ZANZIBAR
yaani makala yote DK. SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI, MAKATIBU WAKUU NA NAIBU KATIBU WAKUU ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DK. SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI, MAKATIBU WAKUU NA NAIBU KATIBU WAKUU ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/dk-shein-awaapisha-viongozi-makatibu.html
0 Response to "DK. SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI, MAKATIBU WAKUU NA NAIBU KATIBU WAKUU ZANZIBAR"
Post a Comment