BASF YAANZISHA KIWANDA CHA UZALISHAJI KEMIKALI ZA UJENZI JIJINI DAR ES SALAAM

BASF YAANZISHA KIWANDA CHA UZALISHAJI KEMIKALI ZA UJENZI JIJINI DAR ES SALAAM - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BASF YAANZISHA KIWANDA CHA UZALISHAJI KEMIKALI ZA UJENZI JIJINI DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BASF YAANZISHA KIWANDA CHA UZALISHAJI KEMIKALI ZA UJENZI JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : BASF YAANZISHA KIWANDA CHA UZALISHAJI KEMIKALI ZA UJENZI JIJINI DAR ES SALAAM

soma pia


BASF YAANZISHA KIWANDA CHA UZALISHAJI KEMIKALI ZA UJENZI JIJINI DAR ES SALAAM

-Uzalishaji utapunguza kwa kiasi kikubwa muda wa usambazaji kwa wateja.
- Uzalishaji wa michanganyiko mbalimbali ya saruji utazingatia makubaliano ya ushuru.
- Kituo hicho kipya cha uzalishaji kitachochea huduma bora kwa wateja kwa kutumia teknolojia ya BASF yenye ufumbuzi wa bidhaa bora.

Kampuni inayoongoza kwa utengenezaji wa kemikali duniani vilevile kemikali za ujenzi , imeanza kuwekeza madhubuti kwenye uzalishaji wa ndani na hivi leo imekabidhi kituo cha uzalishaji nchini Tanzania. Kiwanda hicho ambacho kitazalisha mchanganyiko wa saruji, kitatumika kupitia makubaliano maalum ya ushuru na kitatoa ufumbuzi wa kibunifu ili kuiwezesha BASF kukidhi mahitaji ya wateja.

Kutokana na kiwanda hicho kipya, kitengo cha kemikali na ujenzi BASF kitajiimarisha katika wigo wa kuwafikia wateja wake wengi zaidi na kukidhi mahitaji ya soko huku ikitoa ufumbuzi wa hali ya juu katika sekta ya ujenzi. "Uwekezaji huu ni hatua nyingine muhimu kwa BASF Afrika.

Ushiriki wetu katika bara la Afrika unaongezeka na jukumu kubwa muhimu linalotekelezwa na kitengo hichi ni kutazama zaidi kwenye nchi zenye mipango mizuri na fursa kubwa, kama vile Tanzania "alisema Michael Gotsche, ambaye ni Makamu wa Rais wa BASF Afrika.

Christian Geierhaas ambaye ni Makamu wa Rais wa kitengo cha kemikali za ujenzi Upande wa Mashariki ya Kati, Asia Magharibi, CIS & Afrika, alisema kuwa "Kuwekeza nchini Tanzania, kutaiwezesha kitengo hicho kuleta bidhaa zenye teknolojia ya hali ya juu na ufumbuzi zaidi kwa wateja wetu katika soko hili muhimu."


Hivyo makala BASF YAANZISHA KIWANDA CHA UZALISHAJI KEMIKALI ZA UJENZI JIJINI DAR ES SALAAM

yaani makala yote BASF YAANZISHA KIWANDA CHA UZALISHAJI KEMIKALI ZA UJENZI JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BASF YAANZISHA KIWANDA CHA UZALISHAJI KEMIKALI ZA UJENZI JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/basf-yaanzisha-kiwanda-cha-uzalishaji.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BASF YAANZISHA KIWANDA CHA UZALISHAJI KEMIKALI ZA UJENZI JIJINI DAR ES SALAAM"

Post a Comment