title : Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Nchini Lesotho Yaja Kujifunza Tanzania
kiungo : Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Nchini Lesotho Yaja Kujifunza Tanzania
Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Nchini Lesotho Yaja Kujifunza Tanzania
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano nchini Eng. Joseph Nyamhanga (kulia) akiwa katika picha na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Lesotho, Mhe. Lehlohonolo Moramotse (kushoto) baada ya kumpokea katika uwanja wa ndege wa JNIA kwa ziara ya mafunzo hapa nchini. Katika ziara hiyo Mhe. Moramotse kaambatana na Katibu Mkuu wake, Mathabathe Hlalele.
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano nchini Eng. Joseph Nyamhanga (kulia) akibadilishana kadi ya mawasiliano na baadhi ya maofisa waandamizi kutoka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi nchini Lesotho baada ya kuwapokea katika Uwanja wa Ndege wa JNIA kwa ziara ya mafunzo nchini.
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano nchini Eng. Joseph Nyamhanga (kulia) akizungumza jambo na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Lesotho, Mhe. Lehlohonolo Moramotse (kushoto) katika Uwanja wa Ndege wa JNIA mara baada ya kuwasili kwa ziara ya mafunzo hapa nchini
Hivyo makala Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Nchini Lesotho Yaja Kujifunza Tanzania
yaani makala yote Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Nchini Lesotho Yaja Kujifunza Tanzania Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Nchini Lesotho Yaja Kujifunza Tanzania mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/wizara-ya-ujenzi-na-uchukuzi-nchini.html
0 Response to "Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Nchini Lesotho Yaja Kujifunza Tanzania"
Post a Comment