title : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI MWANZA KWA ZIARA YA KIKAZI
kiungo : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI MWANZA KWA ZIARA YA KIKAZI
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI MWANZA KWA ZIARA YA KIKAZI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza kuanza ziara ya kikazi mkoani humo Februari 15, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabulla wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza kuanza ziara ya mkoa huo, Februari 15, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa serikali, Vyama vya Siasa na viongozi wa dini kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza baada ya kuwasili na kuanza ziara ya kikazi mkoani humo Februari 15, 2018. Watano kulia ni Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John Mongella.
Hivyo makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI MWANZA KWA ZIARA YA KIKAZI
yaani makala yote WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI MWANZA KWA ZIARA YA KIKAZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI MWANZA KWA ZIARA YA KIKAZI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/waziri-mkuu-kassim-majaliwa-awasili.html
0 Response to "WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI MWANZA KWA ZIARA YA KIKAZI"
Post a Comment