WAZIRI MKUU AHITIMISHA ZIARA WILAYANI MISUNGWI

WAZIRI MKUU AHITIMISHA ZIARA WILAYANI MISUNGWI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU AHITIMISHA ZIARA WILAYANI MISUNGWI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU AHITIMISHA ZIARA WILAYANI MISUNGWI
kiungo : WAZIRI MKUU AHITIMISHA ZIARA WILAYANI MISUNGWI

soma pia


WAZIRI MKUU AHITIMISHA ZIARA WILAYANI MISUNGWI

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiakata utepe wakati alipoweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa Mbarika – Misasi katika  kijiji cha Manawa  wilayani Misungwi, Februari 19, 2018. Wapili kulia  ni mbunge wa Misungwi, Charles Kitwanga na wapili kushoto ni Mkuu wa mkoa  wa Mwanza, John Mongella. 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa Mbarika- Misasi katika kijiji cha Manawa wilayani Misungwi Februari 19, 2018. Wapili kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John Mongella na wapili kulia ni Mbunge wa Misungwi, Charles Kiwanga.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akikagua  madarasa yanayojengwa kwa nguvu za wananchi katika kijiji cha Nyamayinza wilayani Misungwi Februari 19, 2018. Kushoto ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula, wapili kulia ni Mbunge wa Misungwi, Charles Kitwanga na watatu kulia ni Mkuu wa wilaya ya Misungwi, Juma Sweda.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubi mkutano wa hadhara katika kijiji cha Nyamayinza wilayani Misungwi, Februari 19, 2018. 
  Baadhi ya wananchi wa wilaya ya Misungwi wakimshangilia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Nyamayinza, Februari 19, 2018.
  Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Nyamayinza wilayani Misungwi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadahara kijijini  hapo,  Februari 19, 2018.
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua shamba la pamba lenye ukubwa w hekari 6 la  Bw. Muhoja Ngole (kulia kwa Waziri Mkuu) katika kijiji cha Mondo wilayani Misungwi, Februari 19, 2018.


Hivyo makala WAZIRI MKUU AHITIMISHA ZIARA WILAYANI MISUNGWI

yaani makala yote WAZIRI MKUU AHITIMISHA ZIARA WILAYANI MISUNGWI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU AHITIMISHA ZIARA WILAYANI MISUNGWI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/waziri-mkuu-ahitimisha-ziara-wilayani.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAZIRI MKUU AHITIMISHA ZIARA WILAYANI MISUNGWI"

Post a Comment