title : WAZIRI KIGWANGALLAH AWASHUKIA VIONGOZI WANAOTAKA KUFUTWA KWA MAENEO YA HIFADHI
kiungo : WAZIRI KIGWANGALLAH AWASHUKIA VIONGOZI WANAOTAKA KUFUTWA KWA MAENEO YA HIFADHI
WAZIRI KIGWANGALLAH AWASHUKIA VIONGOZI WANAOTAKA KUFUTWA KWA MAENEO YA HIFADHI
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangallah,( wa kwanza ) pamoja na Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Japhet Hasunga ( wa tatu ) wakiruka viunzi wakati walipotembelea jana ili kujiridhisha kabla ya kutoa maamuzi katika eneo la msitu wa hifadhi wa Kihesa Kilolo ambao umeombwa na uongozi wa mkoa wa Iringa kufutwa ili kujenga mji mpya wa kitalii katika mkoa huo.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangallah,( wa pili kulia) Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Japhet Hasunga ( wa pili kushoto) wakiwa wameambatana na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza (katikati) wakipatiwa maelezo na Mkuu wa Idara ya mipango miji wa Halmashauri ya Iringa, Wilberd Mtongani ( wa tatu kushoto) wakati walipotembelea eneo la msitu wa hifadhi wa Kihesa Kilolo ili kujiridhisha kabla ya kutoa maamuzi ya kuhaulisha eneo hilo. Wengine ni Watalaamu ni wataalamu kutoka ofisi ya Mkoa pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Kitaifa ya Ushauri wa Misitu.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangallah,( wa tatu kulia) Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Japhet Hasunga ( wa pili kushoto) wakiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Ushauri wa Misitu, Prof. Shabani Chamshama (wa kwanza kushoto) wakipatiwa maelezo na Afisa mipango miji wa Halmashauri ya Iringa, Wicliph Benda ( wa tatu kushoto) wakati walipotembelea eneo la msitu wa hifadhi wa Kihesa Kilolo ili kujiridhisha kabla ya kutoa maamuzi ya kuhaulisha eneo hilo. Wengine ni Watalaamu ni wataalamu kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa.
Naibu Waziri wa Wizara Japhet Hasunga ( wa kwanza ) akiwa ameambtana na wataalam kutoka ofisi ya mkuu wa mkoa wa Iringa wakiruka viunzi wakati alipotembelea jana ili kujiridhisha kabla ya kutoa maamuzi katika eneo la msitu wa hifadhi wa Kihesa Kilolo ambao umeombwa na uongozi wa mkoa wa Iringa kufutwa ili kujenga mji mpya wa kitalii katika mkoa huo.
Hivyo makala WAZIRI KIGWANGALLAH AWASHUKIA VIONGOZI WANAOTAKA KUFUTWA KWA MAENEO YA HIFADHI
yaani makala yote WAZIRI KIGWANGALLAH AWASHUKIA VIONGOZI WANAOTAKA KUFUTWA KWA MAENEO YA HIFADHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI KIGWANGALLAH AWASHUKIA VIONGOZI WANAOTAKA KUFUTWA KWA MAENEO YA HIFADHI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/waziri-kigwangallah-awashukia-viongozi.html
0 Response to "WAZIRI KIGWANGALLAH AWASHUKIA VIONGOZI WANAOTAKA KUFUTWA KWA MAENEO YA HIFADHI"
Post a Comment