wawili wapendanao wajishindia milioni 10 za tatu mzuka

wawili wapendanao wajishindia milioni 10 za tatu mzuka - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa wawili wapendanao wajishindia milioni 10 za tatu mzuka, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : wawili wapendanao wajishindia milioni 10 za tatu mzuka
kiungo : wawili wapendanao wajishindia milioni 10 za tatu mzuka

soma pia


wawili wapendanao wajishindia milioni 10 za tatu mzuka

Mwakilishi wa kampuni ya TatuMzuka,Milard Ayo akizungumza mbele ya Waandishi wa habari mapema jana jijini Dar,alipokuwa akiwatambulisha washindi wa TatuMzuka Daily,waliojinyakulia Milioni 10 wakiwemo wapenzi walioingia kwenye kampeni ya Valentine iliobeba kauli mbiu ya ‘Ukishinda, Unayempenda naye Anashinda’.Pichani kulia ni washindi wa kampeni ya Valentine Jumanne Kabwe na Mariam Omary ambao wote kwa pamoja walijishindia milioni 10 na kushoto ni Nicolaus Chilipweli aliyejishindia milioni 10.
Pichani kushoto ni Mshindi wa TatuMzuka Daily,Nicolaus Chilipweli mkazi wa Bagamoyo akielezea namna alivyojishindia Kitita cha Milioni 10 kupitia mchezo wa kubahatisha wa TatuMzuka na namna atakavyozitumia fedha hizo.
Pichani ni washindi wa kampeni ya Valentine waliotimiza kauli mbiu ‘Ukishinda, Unayempenda naye Anashinda’  Jumanne Kabwe na Mariam Omary ambao wote kwa pamoja walijishindia milioni 10

Kampuni ya mchezo wa bahati nasibu, Tatu Mzuka ilizindua kampeni mpya ya Valentine, ambayo ilianza rasmi hivi karibuni mpaka Februari 18,2018.Kampeni hiyo yenye kauli mbiu, ‘Ukishinda, Unayempenda Naye Anashinda’ imelenga kuhakiksha inashamirisha msimu wa Valentine kwa watanzania kupata fursa ya kujishindia mamilioni lakini pia wawapendao pia kupata fursa ya kushinda.


Hivyo makala wawili wapendanao wajishindia milioni 10 za tatu mzuka

yaani makala yote wawili wapendanao wajishindia milioni 10 za tatu mzuka Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala wawili wapendanao wajishindia milioni 10 za tatu mzuka mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/wawili-wapendanao-wajishindia-milioni.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "wawili wapendanao wajishindia milioni 10 za tatu mzuka"

Post a Comment