title : WAUZAJI WA PIKIPIKI WA WATAOA MSAADA KWA MAJERUHI
kiungo : WAUZAJI WA PIKIPIKI WA WATAOA MSAADA KWA MAJERUHI
WAUZAJI WA PIKIPIKI WA WATAOA MSAADA KWA MAJERUHI
Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii
Kampuni ya King Lion imetoa msaada wa waendesha bodaboda waliopata ajali na wamelazwa katika Hospitali Taifa ya Muhimbili
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukakabidhi msaada huo Afisa Uhusiano na Masoko, Erasto Baragamba amesema kuwa kama kampuni inatambua umuhimu wa waendesha bodaboda hivyo wanatoa mchango ambao utasaidia kujisitili.
Msemaji wa waendesha bodaboda Wilaya ya Ilala, Abdallah Bakari amesema wanashukuru kinglion kwa msaada walioutoa.
Amesema waendesha bodaboda wazingatie sheria za usalama barabarani ili kuweza kuepukana na ajali zinazotokana na makosa ya kibinadamu.
Msemaji wa waendesha bodaboda wa Manispaa ya Ilala, Abdallah Bakari akizungumuza na waandishi habari kuhusiana msaada kwa waendesha bodaboda waliopata ajali na wamelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Msemaji wa waendesha bodaboda wa Manispaa ya Ilala, Abdallah Bakari akikabidhiwa msaada kutoka kwa Afisa Uhusiano na Masoko, Erasto Baramamba.
Hivyo makala WAUZAJI WA PIKIPIKI WA WATAOA MSAADA KWA MAJERUHI
yaani makala yote WAUZAJI WA PIKIPIKI WA WATAOA MSAADA KWA MAJERUHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAUZAJI WA PIKIPIKI WA WATAOA MSAADA KWA MAJERUHI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/wauzaji-wa-pikipiki-wa-wataoa-msaada.html
0 Response to "WAUZAJI WA PIKIPIKI WA WATAOA MSAADA KWA MAJERUHI"
Post a Comment